miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,110
ha ha ha jamaniWe nawe pesa tu, utaliwa mande kwa kupenda kitonga[emoji125] [emoji125] [emoji125]
ha ha ha jamaniWe nawe pesa tu, utaliwa mande kwa kupenda kitonga[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Naomba unikabidhi mke wako tu,watoto mkabidhi mtu mwingine.mkuu naomba jina lako kamili mleta taarifa anaweza asilete kwa wakati?
mkuu naomba kama unapesa kwenye account yako nitumie ?
mkuu nakutakia safari njema huko uendako
atakukabidhiNaomba unikabidhi mke wako tu,watoto mkabidhi mtu mwingine.
Hata dushemkuu sasa kingine kipi niwaze?
hilo sitakiHata dushe
Mkuu wanaojiua kama hivi hawana hata sent kwenye accmkuu naomba jina lako kamili mleta taarifa anaweza asilete kwa wakati?
mkuu naomba kama unapesa kwenye account yako nitumie ?
mkuu nakutakia safari njema huko uendako
acha bangiNina msongo mkubwa wa mawazo
Sina raha tena hapa duniani
Nahitaji kutangulia mbele za haki
Kuna uwezekano mkubwa leo ndio ukawa mwisho wa kuonana mimi na nyinyi
Hivyo basi kwa wale wote niliowakwaza kwa namna moja au nyingine naomba mnisamehe na kwa upande wangu mimi nishawasamehe
Kwa wale ambao mliokuwa mnakwazika kwa nyuzi zangu pia mnisamehe kwa sababu hakuna binadamu aliyekamilika kila mtu ana mapungufu yake
Hakuna kitu chochote ninacho furahia kwa sasa maishani mwangu kila kitu kwangu nakiona hakinipendezi
Mwisho kabisa kama unahisi kuna kitu chochote ulikuwa unahitaji kuniambia ila ulishindwa huu ndio wasaa wenu sasa
Taarifa zaidi za.mazishi yangu zitaletwa na ndugu FAIZHAD kwa yoyote atakaye penda kunisindikiza kwenye nyumba yangu ya milele ataelekweza na huyo ndugu
Kwa kuhitimisha nisingependa kifo changu kihusishwe na mtu yoyote
basi nampa pole aiseeMkuu wanaojiua kama hivi hawana hata sent kwenye acc
inawezekana chanzo cha yeye kutaka kujiua ni matatizo na mkewe.ukimchukua huyo mke jamaa yetu anaweza sitisha azma yake.Naomba unikabidhi mke wako tu,watoto mkabidhi mtu mwingine.
Kama tatizo ni my wife wake,anikabidhi ili asitishe zoezi la kujiua.inawezekana chanzo cha yeye kutaka kujiua ni matatizo na mkewe.ukimchukua huyo mke jamaa yetu anaweza sitisha azma yake.
Nina msongo mkubwa wa mawazo
Sina raha tena hapa duniani
Nahitaji kutangulia mbele za haki
Kuna uwezekano mkubwa leo ndio ukawa mwisho wa kuonana mimi na nyinyi
Hivyo basi kwa wale wote niliowakwaza kwa namna moja au nyingine naomba mnisamehe na kwa upande wangu mimi nishawasamehe
Kwa wale ambao mliokuwa mnakwazika kwa nyuzi zangu pia mnisamehe kwa sababu hakuna binadamu aliyekamilika kila mtu ana mapungufu yake
Hakuna kitu chochote ninacho furahia kwa sasa maishani mwangu kila kitu kwangu nakiona hakinipendezi
Mwisho kabisa kama unahisi kuna kitu chochote ulikuwa unahitaji kuniambia ila ulishindwa huu ndio wasaa wenu sasa
Taarifa zaidi za.mazishi yangu zitaletwa na ndugu FAIZHAD kwa yoyote atakaye penda kunisindikiza kwenye nyumba yangu ya milele ataelekweza na huyo ndugu
Kwa kuhitimisha nisingependa kifo changu kihusishwe na mtu yoyote
hahahaaa!Kama tatizo ni my wife wake,anikabidhi ili asitishe zoezi la kujiua.
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]hahahaaa!
nawe anza kuandika wosia.ukimchukua huyo mke si utachukua na nafasi ya jamaa ya kujinyonga?