Buriani ndugu zangu , tutaonana akhera

Buriani ndugu zangu , tutaonana akhera

Nina msongo mkubwa wa mawazo

Sina raha tena hapa duniani

Nahitaji kutangulia mbele za haki

Kuna uwezekano mkubwa leo ndio ukawa mwisho wa kuonana mimi na nyinyi

Hivyo basi kwa wale wote niliowakwaza kwa namna moja au nyingine naomba mnisamehe na kwa upande wangu mimi nishawasamehe

Kwa wale ambao mliokuwa mnakwazika kwa nyuzi zangu pia mnisamehe kwa sababu hakuna binadamu aliyekamilika kila mtu ana mapungufu yake

Hakuna kitu chochote ninacho furahia kwa sasa maishani mwangu kila kitu kwangu nakiona hakinipendezi

Mwisho kabisa kama unahisi kuna kitu chochote ulikuwa unahitaji kuniambia ila ulishindwa huu ndio wasaa wenu sasa

Taarifa zaidi za.mazishi yangu zitaletwa na ndugu FAIZHAD kwa yoyote atakaye penda kunisindikiza kwenye nyumba yangu ya milele ataelekweza na huyo ndugu

Kwa kuhitimisha nisingependa kifo changu kihusishwe na mtu yoyote
hata kaka yako Kanye west anaugonjwa huohuo ndio faida ya kumuabudu shetani,Kwa heri utupunguzie carbon
 
Nina msongo mkubwa wa mawazo

Sina raha tena hapa duniani

Nahitaji kutangulia mbele za haki

Kuna uwezekano mkubwa leo ndio ukawa mwisho wa kuonana mimi na nyinyi

Hivyo basi kwa wale wote niliowakwaza kwa namna moja au nyingine naomba mnisamehe na kwa upande wangu mimi nishawasamehe

Kwa wale ambao mliokuwa mnakwazika kwa nyuzi zangu pia mnisamehe kwa sababu hakuna binadamu aliyekamilika kila mtu ana mapungufu yake

Hakuna kitu chochote ninacho furahia kwa sasa maishani mwangu kila kitu kwangu nakiona hakinipendezi

Mwisho kabisa kama unahisi kuna kitu chochote ulikuwa unahitaji kuniambia ila ulishindwa huu ndio wasaa wenu sasa

Taarifa zaidi za.mazishi yangu zitaletwa na ndugu FAIZHAD kwa yoyote atakaye penda kunisindikiza kwenye nyumba yangu ya milele ataelekweza na huyo ndugu

Kwa kuhitimisha nisingependa kifo changu kihusishwe na mtu yoyote
Mkuu niuzie figo yako kabla hujafa kwa milioni 50
 
Guys,,,tunampoteza huyu mtu,, seriously the situation is getting worse
Wewe mwanaume mzima unalalamika huku ukishindwa kumsaidia rafiki yako,au kutoa taarifa ya matatizo yake kwa ndugu na jamaa??

Kma ni kweli,nawe Faizhad haina maana kuishi.!!!!
 
Ruling on committing suicide because of depression
Question:
What is the ruling on committing suicide in the case of severe depression in which the sick person is not aware of the consequences of what he does? Will Allaah forgive him for this action?
Is it possible that the suffering that the sick person goes through because of this disease is an expiation for his sins?.




Answer:

Suicide is a major sin, and the one who does that is faced with a warning of eternity in the Fire of Hell, where Allaah will punish him with the means that he used to commit suicide. It was narrated from Abu Hurayrah (may Allaah be pleased with him) that the Prophet (blessings and peace of Allaah be upon him) said: “Whoever throws himself down from a mountain and kills himself will be throwing himself down in the Fire of Hell for ever and ever. Whoever drinks poison and kills himself will be sipping it in the Fire of Hell for ever and ever. Whoever kills himself with a piece of iron will have that iron in his hand, thrusting it into his belly in the Fire of Hell for ever and ever.” Narrated by al-Bukhaari (5442) and Muslim (109),

It was narrated from Thaabit ibn Dahhaak (may Allaah be pleased with him) that the Messenger of Allaah (blessings and peace of Allaah be upon him) said: “Whoever kills himself with something will be punished with it on the Day of Resurrection.” Narrated by al-Bukhaari (5700) and Muslim (110).

It was narrated that Jundub ibn ‘Abd-Allaah (may Allaah be pleased with him) said: The Messenger of Allaah (blessings and peace of Allaah be upon him) said: “A man among those who came before you was wounded. He panicked and took a knife and cut his hand, and the bleeding did not stop until he died. Allaah, may He be glorified and exalted, said: ‘My slave hastened his death; I have forbidden Paradise to him.” Narrated by al-Bukhaari (3276) and Muslim (113).

The believer has to be patient and to seek the help of Allaah, may He be exalted, and understand that no matter what hardship befalls him in this world -- no matter how severe it is -- the punishment of the Hereafter is worse than it. It is not acceptable according to anyone who is of right mind to run away from the heat of the desert and throw himself into the fire. How can he flee from temporary hardship and difficulty -- which inevitably will come to an end -- to an eternal punishment which has no end?

The Muslim should ponder and realise that he is not the only one in this world who is affected by calamity and hardship. Calamities befell the greatest of mankind, namely the Prophets, Messengers and the righteous. They also befell the worst of mankind, namely the disbelievers and atheists.

Calamity is part of the natural order of things and hardly anyone is safe from it.

If the believer handles it well and is patient, and it becomes a means that makes him turn back to Allaah and strive hard in worship and righteous deeds, then the calamity will have been good for him and will be expiation for his sins, and perhaps he will meet Allaah with no burden of sin.

The Prophet (blessings and peace of Allaah be upon him) said: “No pain, hardship, sickness or grief befalls a believer, not even worry that befalls him, but some of his bad deeds will be expiated.” Narrated by al-Bukhaari (5642) and Muslim (2573).

Al-Tirmidhi (2399) narrated that Abu Hurayrah (may Allaah be pleased with him) said: The Messenger of Allaah (blessings and peace of Allaah be upon him) said: “Calamities will continue to befall believing men and women in themselves, their children and their wealth, until they meet Allaah with no burden of sin.” Classed as saheeh by al-Albaani in Silsilat al-Ahaadeeth al-Saheehah (2280).

And Allaah knows best.
 
Jamaa haaminiki fuatilieni thread zake ni za kizushizushi tu (ana ID nyingine ya HR)

Kumbukeni pia yule jamaa fulani aliyejisingizia kufa{DH alidai Puppa kafa wakati ni ID yake}

Bahati nzuri JF huwa inatunza kumbukumbu za thread za nyuma....hivyo wazee wa pumbapumba na kick tunawafahamu

Atakachofanya ni kuizika tu ID kisha atakuja kivingine
Kick ya mwaka mpya
 
NJOO KWA YESU UOKOKE.

Kamwe usikubali mawazo ya kishetani kuutawala ufahamu wako.

Nenda katika Kanisa la jirani la watu WALIOOKOKA watakufanyia maombi na hio roho ya kutaka kujiua itakutoka. YESU anaokoa watu wote bila kujali dini, rangi, kabila, nk. Karibu kwa Yesu upate uhuru wako.
 
Back
Top Bottom