BILGERT
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 6,532
- 11,028
Du..shemkuu sasa kingine kipi niwaze?
Du..shemkuu sasa kingine kipi niwaze?
Lala salama Mkuu, Ndio njia ya kila mmoja.Nina msongo mkubwa wa mawazo
Sina raha tena hapa duniani
Nahitaji kutangulia mbele za haki
Kuna uwezekano mkubwa leo ndio ukawa mwisho wa kuonana mimi na nyinyi
Hivyo basi kwa wale wote niliowakwaza kwa namna moja au nyingine naomba mnisamehe na kwa upande wangu mimi nishawasamehe
Kwa wale ambao mliokuwa mnakwazika kwa nyuzi zangu pia mnisamehe kwa sababu hakuna binadamu aliyekamilika kila mtu ana mapungufu yake
Hakuna kitu chochote ninacho furahia kwa sasa maishani mwangu kila kitu kwangu nakiona hakinipendezi
Mwisho kabisa kama unahisi kuna kitu chochote ulikuwa unahitaji kuniambia ila ulishindwa huu ndio wasaa wenu sasa
Taarifa zaidi za.mazishi yangu zitaletwa na ndugu FAIZHAD kwa yoyote atakaye penda kunisindikiza kwenye nyumba yangu ya milele ataelekweza na huyo ndugu
Kwa kuhitimisha nisingependa kifo changu kihusishwe na mtu yoyote
SitakiDu..she
Nini kimemsib na mmechukua hatua gani mpaka mda huuGuys,,,tunampoteza huyu mtu,, seriously the situation is getting worse
mkuu usifanye hivyo, endelea kupambana bila kuchoka utatoboa tu, katika maisha hakuna njia rahisi, hata hiyo ulochagua usidhani ni rahisi utapitia mateso makubwa kiasi utajutia kwa nini na itakuwa too late. sema tatizo lako tukushauri.Nina msongo mkubwa wa mawazo
Sina raha tena hapa duniani
Nahitaji kutangulia mbele za haki
Kuna uwezekano mkubwa leo ndio ukawa mwisho wa kuonana mimi na nyinyi
Hivyo basi kwa wale wote niliowakwaza kwa namna moja au nyingine naomba mnisamehe na kwa upande wangu mimi nishawasamehe
Kwa wale ambao mliokuwa mnakwazika kwa nyuzi zangu pia mnisamehe kwa sababu hakuna binadamu aliyekamilika kila mtu ana mapungufu yake
Hakuna kitu chochote ninacho furahia kwa sasa maishani mwangu kila kitu kwangu nakiona hakinipendezi
Mwisho kabisa kama unahisi kuna kitu chochote ulikuwa unahitaji kuniambia ila ulishindwa huu ndio wasaa wenu sasa
Taarifa zaidi za.mazishi yangu zitaletwa na ndugu FAIZHAD kwa yoyote atakaye penda kunisindikiza kwenye nyumba yangu ya milele ataelekweza na huyo ndugu
Kwa kuhitimisha nisingependa kifo changu kihusishwe na mtu yoyote
HowVitu hivi mnaweza kuchukulia kama mzaha kumbe MTU ndo anajiua kweli, kwenye psychology wanasema hakuna MTU anayejiua bila kutoa taarifa!
DuhView attachment 451829Picha tuliyo inasa ya kijana huyu dakika za mwisho kabla hatujakwenda mitamboni.