Buriani ndugu zangu , tutaonana akhera

HR 666

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
3,936
2,000
Nina msongo mkubwa wa mawazo

Sina raha tena hapa duniani

Nahitaji kutangulia mbele za haki

Kuna uwezekano mkubwa leo ndio ukawa mwisho wa kuonana mimi na nyinyi

Hivyo basi kwa wale wote niliowakwaza kwa namna moja au nyingine naomba mnisamehe na kwa upande wangu mimi nishawasamehe

Kwa wale ambao mliokuwa mnakwazika kwa nyuzi zangu pia mnisamehe kwa sababu hakuna binadamu aliyekamilika kila mtu ana mapungufu yake

Hakuna kitu chochote ninacho furahia kwa sasa maishani mwangu kila kitu kwangu nakiona hakinipendezi

Mwisho kabisa kama unahisi kuna kitu chochote ulikuwa unahitaji kuniambia ila ulishindwa huu ndio wasaa wenu sasa

Taarifa zaidi za.mazishi yangu zitaletwa na ndugu FAIZHAD kwa yoyote atakaye penda kunisindikiza kwenye nyumba yangu ya milele ataelekweza na huyo ndugu

Kwa kuhitimisha nisingependa kifo changu kihusishwe na mtu yoyote
 
Huntsman

JF-Expert Member
Oct 11, 2012
634
1,000
Naona umeamua kuchukua upande wa Yuda. Kumbuka mbele za Mungu utaulizwa swali hili. Je ulifanya nini juu ya maisha yako na kumjua Mungu? Uliishi sawa sawa na mapenzi ya Mungu? Hakutakuwa na nafasi tena ya kurekebisha chochote na nafasi hiyo unayo kabla hujachukua Huo Uamuzi. Fikiria tena na uamue kwa Busara kwani Yesu kuhani wako leo atakuwa Hakimu wako kesho. Kila la kheri
 
Penguine

JF-Expert Member
Nov 29, 2009
1,298
2,000
Nina msongo mkubwa wa mawazo

Sina raha tena hapa duniani

Nahitaji kutangulia mbele za haki

Kuna uwezekano mkubwa leo ndio ukawa mwisho wa kuonana mimi na nyinyi

Hivyo basi kwa wale wote niliowakwaza kwa namna moja au nyingine naomba mnisamehe na kwa upande wangu mimi nishawasamehe

Kwa wale ambao mliokuwa mnakwazika kwa nyuzi zangu pia mnisamehe kwa sababu hakuna binadamu aliyekamilika kila mtu ana mapungufu yake
Hakuna kitu chochote ninacho furahia kwa sasa maishani mwangu kila kitu kwangu nakiona hakinipendeziMwisho kabisa kama unahisi kuna kitu chochote ulikuwa unahitaji kuniambia ila ulishindwa huu ndio wasaa wenu sasa
Taarifa zaidi za.mazishi yangu zitaletwa na ndugu FAIZHAD kwa yoyote atakaye penda kunisindikiza kwenye nyumba yangu ya milele ataelekweza na huyo ndugu

Kwa kuhitimisha nisingependa kifo changu kihusishwe na mtu yoyote
Yeezus, nini kimekusibu ndugu yangu? Hebu bainisha.
 
Elli Mshana

Verified Member
Mar 17, 2008
40,043
2,000
Sio kila kitu cha kuchukulia mzaha mzaha, hii taarifa siio taarifa ndogo, huenda tukamsaidia kama ni kweli lakini kama si kweli basi fahamu kuwa kuna wengine pia wenye msongo kama huo ulioelezwa na ambao kwa kutoa ushauri mzuri huenda tukawasaidia.

Sometimes MUNGU anaweza kumtumia mtu mwingine ili kuokoa mtu au watu wengine bila kujua! Rejea kisa cha yule jamaa aliyepeleka mtumbwi wake ukapakwe rangi, mpaka rangi akaona tundu kidgo kwenye mtumbwi ule akaamua kuliziba kisha akaendelea na kazi yake na hatimaye kurudisha mtumbwi ule, bila kujua watoto wakachukua mtumbwi wakaondoka nao, mwenye mali amerudi anakuta watoto wameondoka na mtumbwi huku akikumbuka kulikua na shimo, aliishia pozi. Ch akushangaza watoto walirejea salama na akaja kugundua kuwa yule fundi ndie aliziba lile tundu na hivyo kuokoa maisha ya watoto wale.

Huenda mleta mada akawa ndio tundu lenyewe, sisi wachangiaji tusimame upande wa fundi, hebu tuzibe tundu hili regardless ya kuwa linatuhusu au lah, huenda tukawaokoa wengine kwa kutoa ushauri mzuri. MUNGU akubariki
 
ZEE LA HEKIMA

JF-Expert Member
Aug 10, 2015
1,306
2,000
Usikate tamaa. Ukiona kila kitu kinaenda mrama mambo mazuri yako karibu sans. Subiri tu wiki tatu kabla hujatuaga
 
Econometrician

JF-Expert Member
Oct 25, 2013
10,632
2,000
Naona umeamua kuchukua upande wa Yuda. Kumbuka mbele za Mungu utaulizwa swali hili. Je ulifanya nini juu ya maisha yako na kumjua Mungu? Uliishi sawa sawa na mapenzi ya Mungu? Hakutakuwa na nafasi tena ya kurekebisha chochote na nafasi hiyo unayo kabla hujachukua Huo Uamuzi. Fikiria tena na uamue kwa Busara kwani Yesu kuhani wako leo atakuwa Hakimu wako kesho. Kila la kheri
uwezo wa mwanadamu kumkubali Mungu au kumpinga Mungu upo mikononi mwa Mungu-maana uwezo wa mwanadamu kuamua afuate lipi sio kosa lake bali aliyempa uwezo huo wa kuchagua.hivyo yatakuwa si makosa yake
 
NAKWEDE

JF-Expert Member
Aug 1, 2007
27,885
2,000
Sio kila kitu cha kuchukulia mzaha mzaha, hii taarifa siio taarifa ndogo, huenda tukamsaidia kama ni kweli lakini kama si kweli basi fahamu kuwa kuna wengine pia wenye msongo kama huo ulioelezwa na ambao kwa kutoa ushauri mzuri huenda tukawasaidia.

Sometimes MUNGU anaweza kumtumia mtu mwingine ili kuokoa mtu au watu wengine bila kujua! Rejea kisa cha yule jamaa aliyepeleka mtumbwi wake ukapakwe rangi, mpaka rangi akaona tundu kidgo kwenye mtumbwi ule akaamua kuliziba kisha akaendelea na kazi yake na hatimaye kurudisha mtumbwi ule, bila kujua watoto wakachukua mtumbwi wakaondoka nao, mwenye mali amerudi anakuta watoto wameondoka na mtumbwi huku akikumbuka kulikua na shimo, aliishia pozi. Ch akushangaza watoto walirejea salama na akaja kugundua kuwa yule fundi ndie aliziba lile tundu na hivyo kuokoa maisha ya watoto wale.

Huenda mleta mada akawa ndio tundu lenyewe, sisi wachangiaji tusimame upande wa fundi, hebu tuzibe tundu hili regardless ya kuwa linatuhusu au lah, huenda tukawaokoa wengine kwa kutoa ushauri mzuri. MUNGU akubariki
Angekuwa na hiyo distress asingeweza kuweka "siredi" huyu ni kama alivyosema mwanaJF mwenzetu mama kubwa kuwa shule zifunguliwe watoto warudi shule ili JF thread za kitoto zipungue
 
Econometrician

JF-Expert Member
Oct 25, 2013
10,632
2,000
Sio kila kitu cha kuchukulia mzaha mzaha, hii taarifa siio taarifa ndogo, huenda tukamsaidia kama ni kweli lakini kama si kweli basi fahamu kuwa kuna wengine pia wenye msongo kama huo ulioelezwa na ambao kwa kutoa ushauri mzuri huenda tukawasaidia.

Sometimes MUNGU anaweza kumtumia mtu mwingine ili kuokoa mtu au watu wengine bila kujua! Rejea kisa cha yule jamaa aliyepeleka mtumbwi wake ukapakwe rangi, mpaka rangi akaona tundu kidgo kwenye mtumbwi ule akaamua kuliziba kisha akaendelea na kazi yake na hatimaye kurudisha mtumbwi ule, bila kujua watoto wakachukua mtumbwi wakaondoka nao, mwenye mali amerudi anakuta watoto wameondoka na mtumbwi huku akikumbuka kulikua na shimo, aliishia pozi. Ch akushangaza watoto walirejea salama na akaja kugundua kuwa yule fundi ndie aliziba lile tundu na hivyo kuokoa maisha ya watoto wale.

Huenda mleta mada akawa ndio tundu lenyewe, sisi wachangiaji tusimame upande wa fundi, hebu tuzibe tundu hili regardless ya kuwa linatuhusu au lah, huenda tukawaokoa wengine kwa kutoa ushauri mzuri. MUNGU akubariki
bado atarudia asili yake ni bora awahi akajipumzikie
 
Econometrician

JF-Expert Member
Oct 25, 2013
10,632
2,000
Mkuu ukienda huko nisaidie Kumuuliza Mungu kwa nini alitufanya watanzania kuwa na uwezo wa kuichagua SSM maana hawa ndio chanzo cha matatizo yote hadi yanayopelekea ww kuwa na fikira
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom