Buriani ndugu zangu , tutaonana akhera

Buriani ndugu zangu , tutaonana akhera

Hakuna shida Au tatizo wasiopitia watu kama ataomba ushauri tupo sie wataaalamu wa matatizo tukupe ufumbuzi hakuna shida isiyokosa ufumbuzi
 
Whatever the case, wether you are joking or serious..... you are one messed up individual! May God show you the right path!
 
Nina msongo mkubwa wa mawazo

Sina raha tena hapa duniani

Nahitaji kutangulia mbele za haki

Kuna uwezekano mkubwa leo ndio ukawa mwisho wa kuonana mimi na nyinyi

Hivyo basi kwa wale wote niliowakwaza kwa namna moja au nyingine naomba mnisamehe na kwa upande wangu mimi nishawasamehe

Kwa wale ambao mliokuwa mnakwazika kwa nyuzi zangu pia mnisamehe kwa sababu hakuna binadamu aliyekamilika kila mtu ana mapungufu yake

Hakuna kitu chochote ninacho furahia kwa sasa maishani mwangu kila kitu kwangu nakiona hakinipendezi

Mwisho kabisa kama unahisi kuna kitu chochote ulikuwa unahitaji kuniambia ila ulishindwa huu ndio wasaa wenu sasa

Taarifa zaidi za.mazishi yangu zitaletwa na ndugu FAIZHAD kwa yoyote atakaye penda kunisindikiza kwenye nyumba yangu ya milele ataelekweza na huyo ndugu

Kwa kuhitimisha nisingependa kifo changu kihusishwe na mtu yoyote
wasalimie wajinga wenzio huko waliokutangulia. byeeeeee
 
Vitu hivi mnaweza kuchukulia kama mzaha kumbe MTU ndo anajiua kweli, kwenye psychology wanasema hakuna MTU anayejiua bila kutoa taarifa!
 
Mkuu pole sana kwa hatua hiyo, kwani wanataka kumuua nyoka wako ndio maana unaogopa na wewe utakufa? duuuh maisha ya kutegemea nyoka si mazuri.tehe tehe tehe
 
Vitu hivi mnaweza kuchukulia kama mzaha kumbe MTU ndo anajiua kweli, kwenye psychology wanasema hakuna MTU anayejiua bila kutoa taarifa!
mbona hajibu yawezekana yupo serious .. malaika wa ulinzi mtokee huko
 
mkuu naomba jina lako kamili mleta taarifa anaweza asilete kwa wakati?

mkuu naomba kama unapesa kwenye account yako nitumie ?

mkuu nakutakia safari njema huko uendako
we mwanamke unapenda hela!! kaolewe na bank tu yaishe
 
FAIZHAD nakuomba umwahi ndugu yako umuokoe, ILI TUISOME NAMBA PAMOJA hatutaki UJINGA, lazima tuisome wote NAMBA hakuna kukimbia
ha ha ha ha ha ha ha... yadunia kasheshe sana
 
Tufanye biashara basi hizo figo zako kabla[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Pole sana chief, am sorry for you nature has not been on your side
 
Hakuna ukafiri kama huu wa kujiua mwenyewe!eti maisha ,cjui msongo wa mawazo!jidanganye et unaenda pumzika!
 
Hutaki kuona ufalme wa Mungu? Subiri akuchukue mwenyewe, usiondoe uhai wako mwenyewe, ni dhambi. Imeandikwa, usiue. Utakosa nafasi ya kutubu ndugu. Usithubutu. Ukisoma ujumbe huu wa kwangu, acha mawazo hayo, ishi kwa mataini ya kuiɓgia ktk mbingu mpyaaaa. Amen.
 
Back
Top Bottom