Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,304
Inawezekana hata mimi nimejiuliza swali hilo maisha yanachanganya sana kiki za kufa nazo zimekuwa diliVipi Na huko kuna mitandao ya simu au ndio natafuta kiki

Yupo hai angalia hapo alikuepo 30minutes zilizopitaMmmmh sumu haionjwi wala kujaribiwa . Yeezus alikuwa akitania tu.
Kama umedhamiria kujitoa uhai kweli huwezi andika ngonjera yooote hiyo.
Hivi ile safari yako ya mbele za haki iliishia wapi?
Ni Pm nije kukupa ushauri nasaha. Tunakupenda sana. Otherwise R.I. PNina msongo mkubwa wa mawazo
Sina raha tena hapa duniani
Nahitaji kutangulia mbele za haki
Kuna uwezekano mkubwa leo ndio ukawa mwisho wa kuonana mimi na nyinyi
Hivyo basi kwa wale wote niliowakwaza kwa namna moja au nyingine naomba mnisamehe na kwa upande wangu mimi nishawasamehe
Kwa wale ambao mliokuwa mnakwazika kwa nyuzi zangu pia mnisamehe kwa sababu hakuna binadamu aliyekamilika kila mtu ana mapungufu yake
Hakuna kitu chochote ninacho furahia kwa sasa maishani mwangu kila kitu kwangu nakiona hakinipendezi
Mwisho kabisa kama unahisi kuna kitu chochote ulikuwa unahitaji kuniambia ila ulishindwa huu ndio wasaa wenu sasa
Taarifa zaidi za.mazishi yangu zitaletwa na ndugu FAIZHAD kwa yoyote atakaye penda kunisindikiza kwenye nyumba yangu ya milele ataelekweza na huyo ndugu
Kwa kuhitimisha nisingependa kifo changu kihusishwe na mtu yoyote
Aje atupe majibu kwanini safari ameipostponeYupo hai angalia hapo alikuepo 30minutes zilizopitaView attachment 458835
hahahaa manjagata we noma isee...!!Huyo jamaa yako bado yupo hai? Utakuwa ulikosea kitu kimoja, ulipaswa kumtafutia kamba kabisa na unamsaidia kuifunga halafu unampandisha kwenye hiyo kamba tayari kwa kujinyonga! Kuna jamaa yangu tulimfanyia hivyo kamba ilivyokaza tu akatoa ishara ya kumfungua. Kwa vile tulikuwa tunajua kwamba lazima ataomba msaada tulikuwa tumejiandaa na kisu kabisa cha kukatia kamba, tukaikata akaanguka kama mzigo! Hatua iliyofuata ni kuomba apewe uji!
Angalia kwenye profile yake, yuko LiveKwani ashajirestisha au????
Vipi anatafuta kick au?Angalia kwenye profile yake, yuko Live
Kufa tu hakuna maanaNina msongo mkubwa wa mawazo
Sina raha tena hapa duniani
Nahitaji kutangulia mbele za haki
Kuna uwezekano mkubwa leo ndio ukawa mwisho wa kuonana mimi na nyinyi
Hivyo basi kwa wale wote niliowakwaza kwa namna moja au nyingine naomba mnisamehe na kwa upande wangu mimi nishawasamehe
Kwa wale ambao mliokuwa mnakwazika kwa nyuzi zangu pia mnisamehe kwa sababu hakuna binadamu aliyekamilika kila mtu ana mapungufu yake
Hakuna kitu chochote ninacho furahia kwa sasa maishani mwangu kila kitu kwangu nakiona hakinipendezi
Mwisho kabisa kama unahisi kuna kitu chochote ulikuwa unahitaji kuniambia ila ulishindwa huu ndio wasaa wenu sasa
Taarifa zaidi za.mazishi yangu zitaletwa na ndugu FAIZHAD kwa yoyote atakaye penda kunisindikiza kwenye nyumba yangu ya milele ataelekweza na huyo ndugu
Kwa kuhitimisha nisingependa kifo changu kihusishwe na mtu yoyote
Mambo kama haya ndo yanapoteza hata maana ya ushauri humu.... Unaweza kua bze kushauri kumbe mwenzio yuko kimasihara na I'ds kibaoSi mnakumbuka David Harvery na fix ya kifo cha Puppa wakati ni ID take ya pili? Baada ya hapo alifukia tu ID zake au kapigwa life ban
Sasa haka kajamaa ndo HR 666 na kana hii ya Yeesus
Baadaye anaweza kuzuga "shukrani wakuu kwa kuniokoa"
Don't trust him
Mbona ujafa sasa.Nina msongo mkubwa wa mawazo
Sina raha tena hapa duniani
Nahitaji kutangulia mbele za haki
Kuna uwezekano mkubwa leo ndio ukawa mwisho wa kuonana mimi na nyinyi
Hivyo basi kwa wale wote niliowakwaza kwa namna moja au nyingine naomba mnisamehe na kwa upande wangu mimi nishawasamehe
Kwa wale ambao mliokuwa mnakwazika kwa nyuzi zangu pia mnisamehe kwa sababu hakuna binadamu aliyekamilika kila mtu ana mapungufu yake
Hakuna kitu chochote ninacho furahia kwa sasa maishani mwangu kila kitu kwangu nakiona hakinipendezi
Mwisho kabisa kama unahisi kuna kitu chochote ulikuwa unahitaji kuniambia ila ulishindwa huu ndio wasaa wenu sasa
Taarifa zaidi za.mazishi yangu zitaletwa na ndugu FAIZHAD kwa yoyote atakaye penda kunisindikiza kwenye nyumba yangu ya milele ataelekweza na huyo ndugu
Kwa kuhitimisha nisingependa kifo changu kihusishwe na mtu yoyote
Pesa ndo zinamtoa roho[emoji12] [emoji12] akaunt inasoma.032tshmkuu naomba jina lako kamili mleta taarifa anaweza asilete kwa wakati?
mkuu naomba kama unapesa kwenye account yako nitumie ?
mkuu nakutakia safari njema huko uendako
Hao utakaokutana nao huko akhera itakua na wao walijiondoa kama wewe
Ana ID mbili, mtoto wa Mwaka 92Vipi anatafuta kick au?
[emoji23]Pesa ndo zinamtoa roho[emoji12] [emoji12] akaunt inasoma.032tsh