Bungeni Live: June 19, 2012

Mbunge wa mtera Livingstone Lusinde, amechafua hali ya hewa kwa kusema hakuna upinza ambao unaweza kuiwajibisha serikali, sababu hawa jipya. Pia ametaka wapinzani washinikize Mbowe ajiuzulu kwa kukubali kutumia gari la serikali wakati mwanzoni alilikataa.

Huyu jamaa huwa hana link na mabo anayoyaongea na uhalisia wa sasa.
 
Lusinde ni very mediocre...sielewi kwa nini alipewa ubunge CCM.....hajui analoongea lakini nadhani ni tatizo la kabila analotoka Lusinde ...
 
kafulila kuna point alitoa, nduganyi akamuambia azungumze mambo ya bajet, huyu kichaa wao muokota makopo katoa vijembe nduganyi akanogewa mpaka akamuambia arudie tena. chizi anasema bajet imezngatia ilani ya magamba, atuambie ni ukurasa wa ngapi bajeti hii imetenga pesa za kigoma kugeuzwa kuwa dubai, au kujenga fly-overs?
 
namnukuu lusinde alivyosema muda mfupi bungeni "mh naibu spika, wapinzani wanasema kuwa bajeti hii ni ileile ya mwaka jana. si kweli. ila ile ya zitto kabwe ndiyo ileile ya mwaka jana". ameonesha ushahidi kwa kunukuu bajeti ya zitto ya mwaka jana na mwaka huu. ametaja hadi kurasa. Mh spika, wapinzania waliahidi elimu bure na bei ya mabati na simenti kushuka sn. ktkt bajeti mbadal ya zitto siyaoni hayo! kisha wanajiita makamanda! hawa wapinzani ni wababaishaji tu" mwisho wa kunukuuJAPO UKWELI UNAUMA, LKN LUSINDE UMENENA BABAAAAAA!
 
Hivi ni mbio tuu za kuanzisha thread au ni nini
Sasa hapo ni kipi cha maana alichoongea huyu jamaa ambacho unawez akusema ni cha tija kwa taifa
 
yeyote anayetumia matusi, ngumi, kelele,vitisho,na aina hiyo ya mtu ujue hana akili za kumtosha,hana mantiki za kujitetea,IQ IKO CHINI PIA,naungana na watu wote kuwahurumia wananchi wa MTERA maana inaonekana wameongozwa na watu ambao walizaliwa bila vichwa,wakasitiriwa kwa vifuu vya nazi badala ya vichwa,na wao wakawapa kura!.Kama aina ya Lusinde ndiyo UVCCM au CCM at best,hata nabii Eliya akifufuka, na Mtume Muhammad akirudi Tz,CCM chaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!
 
Lusinde ni jamaa yangu but problem yake ni short sighted, illiterate, stupid and uncivilized kabisaa tena anatuangusha ndugu zake kwa ujinga anaoongea. Tukikutana nitamwambia ujomba wetu uwe mwisho tuwasiliane na mama yake tu na kama nae anamuunga mkono huyu **** basi bwana undugu ufe kuliko aibu anayotutia ndugu zake. Hi is arrogant, embecile and uncooth. Next time tutafnya kila linalowezekana kuhakikisha huyu mpumbavu harudi tena bungeni unless hilo Bunge ni la WAPUMBAVU WA MAGAMBA kama alivyo shemeji yake Mwigulu. Unajua nani ana mnanii dada wa mwenzie? Kalagabaho.
 
Lusinde katoa point mbili muhimu:

1) Unafiki wa mbowe kuchukua posho, na kutumia gari la upinzani wakati alilikataa
2) Bajeti ya upinzani haiakisi ilani ya chama chao, mbona hawaoni elimu bure kwenye bajeti ya chadema?

bunge linajadili bajeti mbowe ni mojawapo ya mambo ndani ya bajeti? Elimu bure ni sela ya chama endapo wangeongoza gvt, jarib cudadisi mambo ujue asante.
 
Lusinde kawachana wapinzani mbaya, hongera muheshimiwa

Kama unaweza kumpa hongera mtu anayetumia kikao cha bunge la bajeti kuwachana wapinzani unanifanya nishindwe kukuelewa kabisa. Binafsi naona kuna tatizo mahali na ndo maana tunazidi kurudi nyuma kimaendeleo kwa vile viongozi wetu wanaingiza siasa hata kwenye mambo ambayo ni ya msingi.
 
Hivi ni mbio tuu za kuanzisha thread au ni nini
Sasa hapo ni kipi cha maana alichoongea huyu jamaa ambacho unawez akusema ni cha tija kwa taifa

Tuweke ushabiki pembeni zipo aja za msingi katika hoja ya Mhe Lusinde kama ifuatavyo

"Mbowe atakiwa kujiuzulu baada ya kuudanganya umma kuwa hatatembelea gari VX V8 La serikali lakini amechukua gari hilo na kutembelea kinyemela pia alisema hatapokea posho za vikao ilihali posho hizo anakula kinyemela"

Kwa hakika hizo haoja mbili za kuchuua tena Shsngingi la Serikali na Posho za vikao ni lazima Mhe Mbowe atupatie ufafanuzi mwenyewe kama kweli Mbowe kachukua tena shangingi la Serikali hiyo itakuwa ni hadaa kwa umma. Vile vile kama kweli Mhe Mbowe anavuta kwa haiara yake mwenyewe posho za vikao alizotutangazia hazitaki hiyo pia ni hada kwa umma. Lakini kama utaratibu ule wa kuwalazimishia wabunge posho ndio unaendelea kutumika hilo sio kosa lake.
 
ushabiki mbaya sana, naibu spika anajifanya hajasikia pumba za lusinde anamuomba arudie tena alichokisema as if alikuwa anaongea mambo ya maana kumbe ni mipasho tu, Kafulila alivyokuwa anaongea uzalendo naibu spika akamwambia anatoka nje ya mada, lusinde kaongea pumba tupu, naibu spika anakenua meno tu.

Hutuna viongozi tz
 
Back
Top Bottom