Kaina
JF-Expert Member
- Jul 3, 2015
- 380
- 326
We jamaa mbona unawatia aibu wachaga wenzio. Hii Moshi ni kitukoSawa bwana mdogo
Umeshinda.....
Ngoja sisi tuendelee kuburudika......
Maana unabishania mambo ambayo watu wa Kilimanjaro wameshafanya miaka Zaidi ya hamsini iliyopita ndio maana unaona watu wanakushangaa.....
![]()
![]()