Bukoba vs Moshi

Bukoba vs Moshi

Status
Not open for further replies.
Nawaona wachaga wanapinga kwa maneno tu bila kuweka hata kapicha kusapoti porojo zao.
Sijawahi fika Bukoba lakini kwa muonekano wa picha hizo Moshi haitii maguu hapo.
 
Nawaona wachaga wanapinga kwa maneno tu bila kuweka hata kapicha kusapoti porojo zao.
Sijawahi fika Bukoba lakini kwa muonekano wa picha hizo Moshi haitii maguu hapo.
Mkuu hata uwachinje hawana baada ya kuwakataza wasilete lile la nssf tumelichoka wamebaki kupiga porojo tu.
Eti hawana muda wa kupiga picha !!
 
Hivyo vi hotel vyao mbona huku ni nyumba za watu huku migombani
Endelea kuamini hivyo hebu nikulete hapa Royal fountain hotel bukoba.karibu bukoba
b467455ac85ee81dd7f0982dfd87e81f.jpg
cc3713ee722087a930ec6bb67c323f4e.jpg
fa9de8cdf1f07f161216b3e582ca2b6f.jpg
efbca7eb3882c8fdce813d1fa135a74c.jpg
86b33bbdba31eb1334790b091a395551.jpg
389d97b354d873029642fe6514dcb17b.jpg
789c11ff86031df8e9fae4ef4129aa28.jpg
2cb140ee3a170499e62e4588612d50f3.jpg
5a8ff09b36fde07817fc51f8bff45a18.jpg
f469f9db6644a6c783bed171b7225fca.jpg
39ee678ce282b340dadf764efcbfb553.jpg
4bf0995dc06588691eb62f1ec8028bf9.jpg
 
Na BCD Stella hotel kashura bukoba hii ndo bukoba halisi.najua wengi muliidharau kwa kuleta hoja ya stendi lakini bukoba ni moja ya manispaa chache zinazozidi hata baadhi ya majiji kwa hotel zenye nyota 3,4,5 hii ni BCD Stella hotel km 3 kutoka mjini kashura
6601ec4c6c6b879c50710f6c2635c001.jpg
383a3ffd31996786ad781c05202e7b29.jpg
8affa34b3f485038894bc55d84825f71.jpg
510b9c1e44fd60b13434efab25455bd7.jpg
2bbe98e208d5b1c763349166639f3ef6.jpg
4cde888885e1285bdad3f90dc1913c22.jpg
29823482b85e9cd23738c1c284212e35.jpg
2026f7bb084296227c67cf4b3a9c08c1.jpg
6918c6d8b8642af3112a6995ee061f0a.jpg
1e06a976424deb4f15d597d8cf81af40.jpg
fd2920b00ddbe0309d975bfdd7fc3446.jpg
52918f75a4d13e0d68b3602e31b5ea2c.jpg
6f1d6ece56cf4d6b778578d1c70e9dcf.jpg
 
Bukoba the worst place I've ever seen,sehemu ya kula Hamna ,mjini katikati majengo yote au by 90 percent Ni ya serikali.
Daah hapa kwenye chakula au sehemu ya kula Bk a.k.a Burkina Faso nilichoka aiseee unadhurura mji mzima hupati sehem ya chakula
 
Daah hapa kwenye chakula au sehemu ya kula Bk a.k.a Burkina Faso nilichoka aiseee unadhurura mji mzima hupati sehem ya chakula
Hizo hotel umeziona shida ulikuwa mshamba sana na ulianza kushangaa shangaa tu na kucheki milima ilivyo na majumba au unawaogopa kuwaproach wahaya.bukoba ni moja ya miji michache nchini yenye hotel nyingi,cafe,resorts, na pub nyingi kama picha zinavyojieleZa sio porojo zako
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom