Mmeshaona bukoba ilivyo juu ndo maana mnaogopa kuziweka .Yaani niweke picha za mji wa MOSHI kulinganisha na bukoba? Wewe jamaa unaijua MOSHI au inasikia tu inavyotamkwa hapa?
Kweli sifa za muhaya kujiita No. 1 kwenye kila kitu hali ana debe la senene tu ndani mwake bado zipo hazijaisha
inaitwa Flemish bondSafi sana, alafu mkuu hii staili ya upangaji matofali huwa inaitwaje?? Kwakweli huwa naipenda sana na utanipata kagera (kwa wahaya tu)
tupia picha za airport mpya waache dharau za kijingaMmeshaona bukoba ilivyo juu ndo maana mnaogopa kuziweka .
OK hii ni bukoba aiporttupia picha za airport mpya waache dharau za kijinga
Sasa hako kabarabara kalikotengwa ili ndege zitue inafananisha na uwanja gani wa moshiOK hii ni bukoba aiport![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
magufuli amashaanza mchakato wa kuipanua zaidi ifikie km 2 ili jengo la wasafiri linalopokea watu laki 5 kwa mwaka sawa na terminal 1 ya jkIA liweze kutumika ipasavyo na ndege kubwa ziweze kutua pale kisa wingi wa wasafiri wanaoelekea bukoba.na pia kashozi road itaamishiwa migera ili upanuzi ufanyike watu walishaanza kuhamishwa![]()
Za moshi zipo wapi ? Hivi nyie hamjionei aibu arusha kuwazidi hotel nyingi wakati vivutio vipo KLM ni aibu kwa moshi hata bukoba inaizidi moshi kwa hotel tena nyingine inafunguliwa Leo kule kilimahewa amealikwa baraca da prince na ni hotel kubwa.mtaumia sana mwaka huu naona hukutegemea bk kuwa hivyoBasi kama ni hizo picha,Bukoba hakuna hotel,kuna vilabu na Guest house
wahaya ni taifa kubwa isipokuwa ccm na nyerere ndo kikwazo, lakini wanahistoria husema historia hujirudia IPO Siku wahaya watarudi kwenye peakHakuna mhaya wa kuhangaika ku compare Bukoba yake na huo uchafu wa Moshi. Wachaga ndo mnahanaika kujilinganisha na Bukoba. Kwanza ni aibu kwa mhaya kujilinganisha na mchaga. Ni kujishusha. Angalia nyuzi nyingi humu zimeanzishwa ama na wachaga wenyewe au wenye mrengo wa kuchukia wahaya. Nadhani unanielewa vizuri
Utaaibika sana mkuu tukikuletea hoja za kielimu kuhusu huu uwanja hebu punguza wivu .hii ndo bk bwana leta picha na wewe sio za kia maana huo unapatikana hai ambayo sio moshiSasa hako kabarabara kalikotengwa ili ndege zitue inafananisha na uwanja gani wa moshi
Ahsante, heshima kwakoinaitwa Flemish bond
Jaman tuseme mara ngap humu watu msikie??? Tunataka picha za moshi ili mtu ambaye hajui hii miji miwil alinganishe.Bwana nyie moshi ni habari nyingine watu wa bukoba ni masikini sanaa wako nyuma kwa kila kitu
PoleKweli wahaya ni watu wa kujikweza nimeamini leoooo
Nssf ya bukoba hili hapa nalo ni zuriJaman tuseme mara ngap humu watu msikie??? Tunataka picha za moshi ili mtu ambaye hajui hii miji miwil alinganishe.
Angalizo : Hatutaki picha ya nssf tumelichoka hata sisi jengo la nssf tunalo tena zuri tu
Ulitaka chakula cha buku jero ndo maana ukazurura hivyo. Pole mdogo wangu. Next time ukija jipangeDaah hapa kwenye chakula au sehemu ya kula Bk a.k.a Burkina Faso nilichoka aiseee unadhurura mji mzima hupati sehem ya chakula