Bukoba vs Moshi

Bukoba vs Moshi

Status
Not open for further replies.
Wanajikweza kivipi .watu wa bukoba tulichashowa na nyuzi nyingi za kijinga za kuiponda bk sasa tunawaonyesha kwamba bukoba sio mji wa kubezwa
Kweli mkuu kwa kukaa kimya kwetu hadi wale wanaotokea kwenye nyumba za handaki walianza kunyoosha sharubu, ila kwa kipigo walichopata viongozi wao hapa nadhani heshima imerud
 
Hizo hotel umeziona shida ulikuwa mshamba sana na ulianza kushangaa shangaa tu na kucheki milima ilivyo na majumba au unawaogopa kuwaproach wahaya.bukoba ni moja ya miji michache nchini yenye hotel nyingi,cafe,resorts, na pub nyingi kama picha zinavyojieleZa sio porojo zako
alishindwa hata kwenda bichi akatoe gundu alizofika nazo kutoka kwao kwenye nyumba za handaki
 
Bado hamjaacha dharau zenu pamoja na picha na fact zenu kweli mna roho ngumu kweli.et same inayozidiwa na mji wa kamachumu

Sawa bwana mdogo

Umeshinda.....

Ngoja sisi tuendelee kuburudika......

Maana unabishania mambo ambayo watu wa Kilimanjaro wameshafanya miaka Zaidi ya hamsini iliyopita ndio maana unaona watu wanakushangaa.....

a0ed713e4be0cbdb132024cb8deffa91.jpg
af01a2fc39461417fa7f11e785d11197.jpg
 
Ulizoea kijiji cha kwenu huu mji mkubwa utapotea ukitaka kujifanya we wa mjini, wakati mwingine unauliza
Hakuna mji wa hivyo kama Bukoba ukilinganisha na mbwembwe na mijisifa ya wahaya Afrika nzima.
Nilitegwmea Bukoba ingekuwa kama ni mji wa kwanza kwa uzuri, majengo, huduma za jamii miongoni Tanzania ila cha ajabu kwenye list ya majiji haipo; kwenye list ya manispaa bora haipo tena dah, kwenye cent a nzuri haipo. Kifupi Bukoba ni kijiji kinachofanya vizuri yaani kina umeme, uwanja mdogo wa ndege, barabara zomepita kwenda Uganda-Dar
 
Jifariji, lakin ulienda beach angalau kutoa tongotongo??? Kama ulirudi kwenu kwenye joto bila kufanya hivo umeidhulumu nafsi yako
 
Hizo hotel umeziona shida ulikuwa mshamba sana na ulianza kushangaa shangaa tu na kucheki milima ilivyo na majumba au unawaogopa kuwaproach wahaya.bukoba ni moja ya miji michache nchini yenye hotel nyingi,cafe,resorts, na pub nyingi kama picha zinavyojieleZa sio porojo zako
Wahaya sifa zenu zingekuwa zinajenga Huo mji hakika Bukoba ingekuwa imeipiku Dubai kabla hatujamaliza huu mwaka wa 2017 ila kwa sababu mmewekeza zaidi kwenye sifa mji umebaki kuwa wa hivyo kuliko miji yote nchini.
MNA mazingira na mandhari sawa kabisa na Mwanza lakini mmepitwa mbali sana. MOSHI yenyewe imepiga nao mbali sana.
Bukoba saizi yake ni Njombe, Songea, Musoma ila si Moshi
 
Hakuna mji wa hivyo kama Bukoba ukilinganisha na mbwembwe na mijisifa ya wahaya Afrika nzima.
Nilitegwmea Bukoba ingekuwa kama ni mji wa kwanza kwa uzuri, majengo, huduma za jamii miongoni Tanzania ila cha ajabu kwenye list ya majiji haipo; kwenye list ya manispaa bora haipo tena dah, kwenye cent a nzuri haipo. Kifupi Bukoba ni kijiji kinachofanya vizuri yaani kina umeme, uwanja mdogo wa ndege, barabara zomepita kwenda Uganda-Dar
Una porojo ambazo na Mimi naweza zisema kwa miji kama mwanza .yaani haubishani kisomi.utaonekana mjinga na MTU wa hovyo kwa picha za bukoba zilizowekwa ukasema moshi inaizidi bk.utamwaminishaje MTU maneno yako wakati anaona picha na we huweki picha yoyote kimsingi unajizaririsha
 
Wahaya sifa zenu zingekuwa zinajenga Huo mji hakika Bukoba ingekuwa imeipiku Dubai kabla hatujamaliza huu mwaka wa 2017 ila kwa sababu mmewekeza zaidi kwenye sifa mji umebaki kuwa wa hivyo kuliko miji yote nchini.
MNA mazingira na mandhari sawa kabisa na Mwanza lakini mmepitwa mbali sana. MOSHI yenyewe imepiga nao mbali sana.
Bukoba saizi yake ni Njombe, Songea, Musoma ila si Moshi
Unaonekana MTU asiyejielewa yaani mahoteli yote,maghorofa yote halafu huoni kitu .utakuwa sio wa kawaida yaani bukoba imejengwa sana na imepanuka mno yaani kule mjini kati,kule bandari,kule rwamishenye, kule beach,kule milima na maisha ni rahisi yaani bodaboda jero kwenda km5
 
Una porojo ambazo na Mimi naweza zisema kwa miji kama mwanza .yaani haubishani kisomi.utaonekana mjinga na MTU wa hovyo kwa picha za bukoba zilizowekwa ukasema moshi inaizidi bk.utamwaminishaje MTU maneno yako wakati anaona picha na we huweki picha yoyote kimsingi unajizaririsha
Yaani niweke picha za mji wa MOSHI kulinganisha na bukoba? Wewe jamaa unaijua MOSHI au inasikia tu inavyotamkwa hapa?
 
Kweli sifa za muhaya kujiita No. 1 kwenye kila kitu hali ana debe la senene tu ndani mwake bado zipo hazijaisha
 
Wahaya sifa zenu zingekuwa zinajenga Huo mji hakika Bukoba ingekuwa imeipiku Dubai kabla hatujamaliza huu mwaka wa 2017 ila kwa sababu mmewekeza zaidi kwenye sifa mji umebaki kuwa wa hivyo kuliko miji yote nchini.
MNA mazingira na mandhari sawa kabisa na Mwanza lakini mmepitwa mbali sana. MOSHI yenyewe imepiga nao mbali sana.
Bukoba saizi yake ni Njombe, Songea, Musoma ila si Moshi
Bukoba kuzidiwa na mwanza ni sawa kwa sababu mwanza ni capital of Lake zone kwa hyo inapata upendeleo wa serikali kama ilivyo Arusha huko kaskazini, ila moshi kuzidi bk haitakaa itokee kamwe!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom