Bukoba vs Moshi

Bukoba vs Moshi

Status
Not open for further replies.
Nahitaji oblique view ya mji wa bk. ..
This is Moshi
73ea54b4ad77b543020de2069d2fd45e.jpg
Picha mmezirudia mpaka mnachosha .
 
Moshi kuna shule nyingi za sekondari kuliko wilaya yoyote tz
Moshi kuna hospital mingi kuliko kagera nzimaKcmc pekee imemaliza
Vyuo vikuu vilivyopo Moshi Kagera nzima Hamna
Mnajenga bus stand Leo? Hamuwez kua mpo serious ata kidogo. ...
Hotel bk mnaonyesha nyumba zakulala (lodge)mnaziita hotel?acheni utani jaman
Unajua kilichokwamisha ujenzi wa stendi,na je bukoba INA shule ngapi na bukoba unakuwa ya ngapi kitaifa kwenye mitiani
 
Moshi...Apo sijapata picha ya shanty town nmalize kazi hua naua nzi kwa nyundo tu

Ishia hapo hapo usije ukapata kesi ya kuua bila kukusudia......

Si unajua mishtuko ya moyo na presha haviko mbali na wenye wivu...!??
 
Unavyofikiria sivyo mji Wa bukoba una kilometa za mraba 90 huku moshi ikiwa na 59 hivyo kiukubwa bukoba ni kubwa kuliko moshi. Kwa location bukoba iko location nzuri ukizingatia imepakana na Uganda. Rwanda,Burundi, na Kenya kupitia ziwani,kimzunguko Wa pesa ni mkubwa hasa uwepo Wa bandari, nchi nyingi zilizozunguka,vyuo vingi saut,jocuko,katoke,na open.pia viwanda ni vingi tanika,bunena water,Victoria chalks,vicfish,chai yetu,asilia water,Kabanga water, Mali juice,viwanda vya mafuta ya kujipaka,kagera sugar,viwanda vya maziwa,na balimi,.tena bk IPO katikati ya mwanza na mtukula ambayo miji kuna masoko ya Africa mashariki,biachara ya ndizi ndo usiseme watu ni wengi na bukoba bado INA sehemu kubwa ya kujenga nyumba kuliko moshi ambayo imebanwa na vijiji. Nakushangaa usemapo moshi itangazwe jiji ?
Kwani kuna mkowa unaitwa Bukoba
 
Tuende taratibu...
Huduma za kijamii shule tunawapiga,hospitali tunawapiga,vyuo vya kati vya elimu ya juu tunawapiga,viwanda tunawapiga,kilimo tunawapiga,miundombinu tunawapiga,pesa tunawapiga,this was a wrong battle...Moshi is not you're level. ...
 
Hebu fuatilia nyuzi nyingi.zimeanzishwa ili kuiponda bk hebu search bukoba, wahaya utaona ukweli ndo maana tumeamua kuwaumbua
hao wahaya mbona wanapondwa na kila mtu? wanaoponda wahaya ni wachaga pekee? mbona hata wachaga wanapondwa hivyo hivyo pia? kwani wanaoponda wachaga ni wahaya pekee...
 
hao wahaya mbona wanapondwa na kila mtu? wanaoponda wahaya ni wachaga pekee? mbona hata wachaga wanapondwa hivyo hivyo pia? kwani wanaoponda wachaga ni wahaya pekee...
Wacha tuwapake dawa wanasifa wakati hawazidi Moshi
 
Kwakweli BK mnajitahidi majengo no mazuri ila Ms kuilinganisha na BK ni mbingu na ardhi mji wa Moshi umeongezwa eneo kutoka km 58 mpaka 129km hivyo imeizidi BK karibu Mara mbili, pili Ms kuna vyuo vikuu zaidi ya 4 ktk mji kama huo huwezilinganisha na BK ambao hawana hata kimoja ,Ms kuna hospitali kubwa na chuo cha police hayo tuu yanatosha kuonyesha mji ulivyochangamka ulilinganisha na BK kuhusu mahoteli Ms inaizidi kwa mbali sana BK ,na kuhusu majengo kuna jamaa kasema Ms jengo no NSSF tuhuyo haijui Ms vizuri Kuna Kibo tower yenye ghorofa 10 ,kuna arshoo tower yenye ghorofa 13 kuna majengo mengi ya ghorofa 6,7,8,5 na kuna night club nyingi za ukweli sasa sijui unapata wapi haki ya kulinganisha Ms na BK nafikiri BK no ya kuilinganisha na Singida au Tabora
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom