Alafu kingine ni kwamba wakati huu wengi wapo uko kijijini Kilimanjaro na wameshindwa kuonyesha picha. Wamebaki kubwabwaja tuu, Mara ivi Mara vile. Mimi nilishangaa sana walivyokuwa wanaongea eti Kilimanjaro. Watu wanawajua wachaga kuliko wao wanavyojiona. Wahaya wamekuwa wanabaguliwa na kufanyiwa fitina na wachaga katika taasisi nyingi ambazo wao wengi wamejazana kwa kubebana bebana, MTU hana elimu lakini yupo kwenye kazi kinachomlinda ni Ushirikina na uchawi ndio unaowaweka katika ofisi, na kingine ni kufoji vyeti. Hawa jamaa ni wababaishaji sana katika mambo na ni wezi kishenzi. Kama sasa ivi, maeneo ya Dar es salaam yamekuwa magumu kwa ufugaji wa ng'ombe na nguruwe kwa sababu ya wizi.