Bukoba vs Moshi

Bukoba vs Moshi

Status
Not open for further replies.
Mlituchokoza kwa kuanzisha nyuzi kuiponda bk sasa tunawaumbua endeleeni tu kutuchokonoa mtaaibika ile mbaya shida bukoba ni mbali hivyo wengi wanaiskia tu na sasa hawaamini wanachokiona wanaishia kusema moshi siyo ya kufananisha na vitu vya hovyo ambayo havijulikani kweli mapovu yanawatoka
mnatuumbua kwa hizo picha za gest za vyumba vitatu .mlivyojenga kwa msaada wa rambirambi?
mnachekesha nyie n washamba tunawachora tu
 
Uongo na majungu havijengi. Aliyekwambia nani? Wivu utakuua.habar ndo hiyo ,angalia usilie bado nawaletea picha motomoto ukizingatia bk ni pana sana vilima 70% ya mji sijavigusa bado.utaumbuka sana mwaka huu
yan niumbuke kwa vi pcha vya gest bubu mlivyojenga kwa msaada wa rambirambi?
tatizo menu ushamba mwingi hivyo vijengo kule kwetu n uchaf
 
Una ajenda binafsi .. Kama kutangaza vivutio kwanini usiji compare na mikoa mingine kama arusha, mwanza au iringa , why KLM ??
Nikwa sababu unapima ukabila kutaka kujitutumua dhidi ya wachaga..

Waache hao wakenya watangaze kuwa klm ipo kwao mwisho wasiku njia yakwenda huo mlima ipo kwetu lango moja.. Watalii wote wanakuja kulala Moshi na wata panda wakiwa moshi na wata lipia hotel za moshi..Busara ya mwerevu ni ukimnya siyo sifa.. Badala ya kuacha shughuli zetu ktumia muda wetu kubwata kuhusu kLM wapo mabwege kama wakenya wana tu tangazia na hela inakuja ..wewe pia kama ilivyo ada ya sifa kwenu unaweza ukasema klm upo kwenu.. Chaga not bother at all... Asili yetu ni kutega kama kobe pesa iingiie kilaini ..kupitia wabwataji..
Hakuna mhaya wa kuhangaika ku compare Bukoba yake na huo uchafu wa Moshi. Wachaga ndo mnahanaika kujilinganisha na Bukoba. Kwanza ni aibu kwa mhaya kujilinganisha na mchaga. Ni kujishusha. Angalia nyuzi nyingi humu zimeanzishwa ama na wachaga wenyewe au wenye mrengo wa kuchukia wahaya. Nadhani unanielewa vizuri
 
Mlituchokoza kwa kuanzisha nyuzi kuiponda bk sasa tunawaumbua endeleeni tu kutuchokonoa mtaaibika ile mbaya shida bukoba ni mbali hivyo wengi wanaiskia tu na sasa hawaamini wanachokiona wanaishia kusema moshi siyo ya kufananisha na vitu vya hovyo ambayo havijulikani kweli mapovu yanawatoka
chema chajiuza kibaya chajitembeza
 
Nyie watu wa Bukoba na Mwanza, mna tatizo gani na mikoa ya Kaskazini? maana mnaiwaza sana, kila siku kulinganisha Mwanza vs Arusha, mara Bukoba vs Moshi, fanyeni kazi acheni upuuzi kulinganisha mambo ya mikoa kwani, mtanzania yoyote kila mkoa ni wake, mtu wa Moshi anaweza kuishi Bukoba, so Bukoba ikiendelea ni faida kwake pia, ugomvi wa nini?
Au ndio mnataka kuleta ukabila hapa? Pumbavuu sana
Acha kuvuta wewe. Mtu gani wa Bukoba alinganishe Bukoba au Mwanza (Kanda ya ziwa) na huo uchafu wenu wa kaskazini?? Ni kujishusha kabisa maana sisi tunajua tupo level tofauti kabisa. Angalieni nyuzi nyingi mnaanzisha nyie na mnagalagazwa. Mkome
 
Wewe jamaa utakuja uweke hata picha za vyumbani. Kagera sijui bukoba ni uwenda wazimu kuifananisha na moshi. Yaani kwa majengo tu lile eneo la hospitali ya kcmc ni zaidi ya mji wenu wote. Moshi na badhi ya wilaya za mkoa wa kilimanjaro kuna huduma nzuri za kijamii kulika mikoa yote labda dsm tu.

Ombi
Acha kufananisha Moshi na vitu vya kijinga
eti ombi, tena kwa herufi kubwa!! Yaani dume zima unaomba?? Acha kudevela weka evidence. Unaleta kutia huruma. Hapa unabishana na wanaume wa shola kutoka kanda ya ziwa ongea kiume mkuu unadhalilisha wenzio
 
Duuuuu naweza sema naijuwa bukoba vizuri sana. Kuanzia BUKOBA MJINI, VIJIJINI, MISENYI, KARAGWE,nk.yaani kifupi naijuwa KAGERA. Kiukweli kuilinganisha BUKOBA MJINI NA MOSHI MJINI ni kituko sana. Labda mseme moshi haina fukwe za Ziwa tuu lakini vingine vyote hapana. Stendi yenyewe tope. Zikipaki gari kubwa 30 imejaa kabisa. Ivo ukiwa umeshatembelea na Moshi uje.
Unadhani Bukoba na Kagera unaijua peke yako??? Yaani katika yote umeona stend ndo shida. Tunakupa miezi tu utakosa cha kiandika.

BTW na mimi naijua Moshi na Kilimanjaro in and out bro. Huwez linganisha na Buloba hata siku 1. Moshi mjini ni kaeneo kadogo sana kalikojengeka ukisogea kidogo tu ni kituko. Bukoba imepanuka na imesambaa
 
Moshi ni mji wa kitalii, BK unaweza kumaliza mwezi bila kumwona mzungu
Sasa unafikiri hotel ulizoziona ni za nini? Usifiki bukoba sio mji wa kitalii pia? Tena ni wengi kweli bukoba ni mji wa kihistoria na unatembelewa sana ndo maana mkulu anataka kupanua bk airport maana safari za ndege ni nyingi
 
dadadeki. utatokwa povu hadi ufe
mda huu tupo kula bats home nyie c mmetelekeza kwenu?
at I mnabaguliwa ktk taasisi mnachekesha
kuhusu wez kuna wizi mkuu kuliko escow? hivi yulemhusika mkuu wa escrow n wawapi?
hamtakaa mtufkie kmwe,endeleen kujidanganya na tu picha twa hotel ambato kwetu ni gest bubu
Aliyekwambia ruge ndie aliyeiba ni nani? Angalia yasije kukuta ya kusekwa rumande
 
Alafu kingine ni kwamba wakati huu wengi wapo uko kijijini Kilimanjaro na wameshindwa kuonyesha picha. Wamebaki kubwabwaja tuu, Mara ivi Mara vile. Mimi nilishangaa sana walivyokuwa wanaongea eti Kilimanjaro. Watu wanawajua wachaga kuliko wao wanavyojiona. Wahaya wamekuwa wanabaguliwa na kufanyiwa fitina na wachaga katika taasisi nyingi ambazo wao wengi wamejazana kwa kubebana bebana, MTU hana elimu lakini yupo kwenye kazi kinachomlinda ni Ushirikina na uchawi ndio unaowaweka katika ofisi, na kingine ni kufoji vyeti. Hawa jamaa ni wababaishaji sana katika mambo na ni wezi kishenzi. Kama sasa ivi, maeneo ya Dar es salaam yamekuwa magumu kwa ufugaji wa ng'ombe na nguruwe kwa sababu ya wizi.
Ni kweli mkuu. Maana nimekumbuka kwenye vyeti feki vilivyoshughulikiwa na mkuku Kilimanjaro ndo iliongoza na mwenzake Arusha. Samahani kwa kusema ukweli bandugu
 
Nasema tena umewahi fika moshi? Mwisho wangu wa kufika bk ni mwaka 2016. Nachokuambia maeneo yote nayajuwa. Usilinganishe moshi na bk. Nimekuambia mnaizidi moshi maji ya ziwa tuu. Naweza sema bk ilinganishwe na bomang'ombe
Nami nayajua maeneo yote ya Moshi. Baba mmepitwa mbali. We chukua kombe la mbege utulizie machungu
 
mnatuumbua kwa hizo picha za gest za vyumba vitatu .mlivyojenga kwa msaada wa rambirambi?
mnachekesha nyie n washamba tunawachora tu
Endeleeni kutuchora ukiwa unaenjoy ziwa la pili duniani
1023f11f738351e98840db5f04a45854.jpg
1303661aa86320cc3d88fb0f3f753b61.jpg
f38eb607c8a65b0e0ef0e5974a19a065.jpg
e628488b6da424c9b1a40ad631f229a3.jpg
76b22ce55db82b495ae6e2faadf5c8fe.jpg
 
dadadeki. utatokwa povu hadi ufe
mda huu tupo kula bats home nyie c mmetelekeza kwenu?
at I mnabaguliwa ktk taasisi mnachekesha
kuhusu wez kuna wizi mkuu kuliko escow? hivi yulemhusika mkuu wa escrow n wawapi?
hamtakaa mtufkie kmwe,endeleen kujidanganya na tu picha twa hotel ambato kwetu ni gest bubu
Kweli we kibibi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom