Brazil: Msitu wa Amazon unaendelea kuwaka moto

Brazil: Msitu wa Amazon unaendelea kuwaka moto

Screenshot_20190823-114823.png
 
Mrusi analipukiwa na manyuklia yake kwenye majaribio hana hamu kabiaaaa!!

China vita ya kiuchumi inamtoa kamasi! Hajui aiokoeje Huawei!

Uingereza BREXIT inawapasua kichwa balaa!!

France anaangalia namna ya kumpiga hela Iran kwa kudalalia usuluhishi!

Germany hofu imetanda ya recession!

Trump anawaza Uchaguzi.

Canada amemaindi wachina kususia minofu ya Nguruwe wake!!

India yuko kashmiiirrr!

Pakistan yuko kortin anapambania kashmir.

South Africa wameduwazwa na scandal ya Ramaphosa!!

Labda tutegemee muujiza wa WAFILISTI.
Nini maoni ya raisi wetu kuhusu huo msitu?
 
Hapo kwenye pray for Amazon ...kwani prayers ndo zitauzima bila human actions?
 
Hapa ndio Jamhuri ya kiislamu ya watu wa Iran ndio ingejichukulia ujiko kwa kuuzima fasta kwa makombora ya masafa marefu.
Umefikiria mbali sana. Lakini mwenyewe wanalilia kutengeneza ya masafa marefu kuua watu tu
 
Mrusi analipukiwa na manyuklia yake kwenye majaribio hana hamu kabiaaaa!!

China vita ya kiuchumi inamtoa kamasi! Hajui aiokoeje Huawei!

Uingereza BREXIT inawapasua kichwa balaa!!

France anaangalia namna ya kumpiga hela Iran kwa kudalalia usuluhishi!

Germany hofu imetanda ya recession!

Trump anawaza Uchaguzi.

Canada amemaindi wachina kususia minofu ya Nguruwe wake!!

India yuko kashmiiirrr!

Pakistan yuko kortin anapambania kashmir.

South Africa wameduwazwa na scandal ya Ramaphosa!!

Labda tutegemee muujiza wa WAFILISTI.
Hapo mkombozi wao ni Tanzania tu. (Nawaza tu jamani tufikie huko,taifa lenye kuangaliwa kwa macho[emoji15] na dunia nyingine. Tujanga kama hutu ingekuwa inajichukulia maujiko fasta)
 
Waziri mkuu wa Ufaransa anajua nn kinacho endelea..... Ngoja mkutano wa wakubwa wa nchi uishe kwanza G7.....
 
Sipatii picha hiyo mianakonda itakavyotokeza live kwenye makazi ya watu ikiukimbia moto. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Tuombe isifikie hatua hiyo mkuu hili ni janga la kidunia kikubwa huo msitu na hao wanyama bado tunawahitaji
 
Kuna ile njia ya kuyalazimisha mawimgu yasababishe mvua...hata Lowassa aliwahi kuigusia kipindi flani nyuma...waitumie hiyo kuzima huo moto
 
Back
Top Bottom