Brazil: Msitu wa Amazon unaendelea kuwaka moto

Brazil: Msitu wa Amazon unaendelea kuwaka moto

Human factor is the main causative on this one....
 
Ficha ujinga wako!!!
Imekugusa Ayatolah!!
Hiyo ndio njia pekee wnaweza kuitumia kuuthibitishia ulimwengu kuwa programs zao za mabomu zina lengo la amani na utulivu wa dunia.
 
Hizo ndio akili zako zilipofikia
Imekugusa Ayatolah!!
Hiyo ndio njia pekee wnaweza kuitumia kuuthibitishia ulimwengu kuwa programs zao za mabomu zina lengo la amani na utulivu wa dunia.
 
Brazil rejects G7 aid to fight Amazon fire.

Sababu ni nini?
 
bado huwa najiuliza kuna nini kati moto na miti mibichi,mbona tukijaribu kupikia kuni mbichi gia haziingii kabisa!!!!

kingine ni namna moto unaounguza nyumba unavyokuwa na kiherehere na nguvu.sijui huwa inakuwaje tu.
 
Huwa moto unakuwa na nguvu flan utafikiri mapepo...half utakuta Mtu anayeunguzwa anashindwa kukimbia anakimbilia kwenye moto hata ukimvuta.

Kuhusu kuni mbichi zinawaka Sanaaa kuliko kavu. Yale maji ya kwenye miti ndio yanageuka kuwa kama petrol...na mti mbichi unawaka muda mrefu zaidi kuliko mkavu na una mkaa mkali sana tu.

Ndio maana hata kwenye tanuru mti mkavu huwa ni kama starter tu ila kuni au nguzo mbichi ndio haswaa ya kuchomea matofali mabichi.

Ila kuni mbichi inachelewa kushika moto.
 
Back
Top Bottom