kuna kila dalili kwamba wabaya wa red indians wameamua "kuchomoa battery" ili wote wakose!wadadisi wa mambo wanadai chanzo cha moto kwenye msitu wa amazon ni hujuma iliyofanywa na matajiri wa mafuta.
hii imekuja baada ya kabila moja toka jamii ya wahindi wekundu wanaopatikana ndani ya msitu huo kushinda kesi ya madai waliyokuwa wameishtaki kumpuni moja kubwa linayolofanya utafiti wa kuchimba mafuta na gas ndani ya msitu huo. lengo lao lilikuwa ni kuzuia kampuni hiyo isiendelee kukwapua maeneo yao ya asili.
ifahamike tu kwamba ndani ya msitu wa amazon kuna hifadhi kubwa sana ya oil na gas.
View attachment 1187952
Ewaaaa babu mkombe kumbe upo humu dahh!!! Long time kitambo aseeMkombe wa kulichombe,
mnywa pombe kwa kikombe
Mbele ya wapambe
Ukimkuta bar usimuombe pombe
Msubiri nyumbani atakupa embe
[emoji23][emoji1787][emoji1787]
Tukianza kupumua kwa shida usishangae mkuu asilimia 20 ya hewa tunayovuta inatokana na msitu wa amazon
#prayforamazon
Majuzi nimepumua kwa shida hadi nikaugua... kumbe shida ni amazonSo soon tutakufa muzee
Daah kwa hiyo oksajeni ndo inapungua 😲
Dah ngoja niwahi seat mbingun
Teh acha uongo 😆Majuzi nimepumua kwa shida hadi nikaugua... kumbe shida ni amazon
mzee ana machale sana ivi ameweka miti kule?Sisi Tz tuna pori la Burigi ndo tunalitegemea kupumua
Labda kujipwaaaaaaaaaaaaaHapa ndio Jamhuri ya kiislamu ya watu wa Iran ndio ingejichukulia ujiko kwa kuuzima fasta kwa makombora ya masafa marefu.
Pengine Burigi-chato mkuu!Kama 20% inatoka huko Amazoni 80% iliyobaki inatoka wapi?
ccm bhana[emoji23][emoji23]Anaconda amekufa?