Duduwasha
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 5,701
- 3,664
Bado KasepaAnaconda amekufa?
Bado KasepaAnaconda amekufa?
Watapumua kwa shida hukohuko huku kijijini kwetu bado tunadunda tuTukianza kupumua kwa shida usishangae mkuu asilimia 20 ya hewa tunayovuta inatokana na msitu wa amazon
#prayforamazon
Mrusi analipukiwa na manyuklia yake kwenye majaribio hana hamu kabiaaaa!!
China vita ya kiuchumi inamtoa kamasi! Hajui aiokoeje Huawei!
Uingereza BREXIT inawapasua kichwa balaa!!
France anaangalia namna ya kumpiga hela Iran kwa kudalalia usuluhishi!
Germany hofu imetanda ya recession!
Trump anawaza Uchaguzi.
Canada amemaindi wachina kususia minofu ya Nguruwe wake!!
India yuko kashmiiirrr!
Pakistan yuko kortin anapambania kashmir.
South Africa wameduwazwa na scandal ya Ramaphosa!!
Labda tutegemee muujiza wa WAFILISTI.
SADC mambo bado hayajaiva kwa kuwa mwenyekiti hata mwezi hajatimiza!Mrusi analipukiwa na manyuklia yake kwenye majaribio hana hamu kabiaaaa!!
China vita ya kiuchumi inamtoa kamasi! Hajui aiokoeje Huawei!
Uingereza BREXIT inawapasua kichwa balaa!!
France anaangalia namna ya kumpiga hela Iran kwa kudalalia usuluhishi!
Germany hofu imetanda ya recession!
Trump anawaza Uchaguzi.
Canada amemaindi wachina kususia minofu ya Nguruwe wake!!
India yuko kashmiiirrr!
Pakistan yuko kortin anapambania kashmir.
South Africa wameduwazwa na scandal ya Ramaphosa!!
Labda tutegemee muujiza wa WAFILISTI.
Utumwa wa kifikra ni mbaya sana.Kwa wiki ya tatu sasa msitu wa amazon unaendelea kuwaka moto.Moto kuwaka huwa kawaida katika msitu huo mkubwa zaid dunian lakin huu wa sasa unaonekana haudhibitiki.
View attachment 1187939
Chanzo cha moto haijulikani lakini mashirika yasio ya kiserikali na serikali ya nchini Brazil kila mmoja anamtuhumu mwenzake kuhusika na moto huo
View attachment 1187940
Msitu wa amazon ni muhimu sana kwa ustawi sio tu kwa brazil bali kwa dunia yetu kiujumla pamoja na vizazi vyetu vijavyo
#prayforamazon
Bila shaka kuna hujuma zimefanyika
Tanzania yupo busy na Standard Gauge na Stiglers Gorge.Mrusi analipukiwa na manyuklia yake kwenye majaribio hana hamu kabiaaaa!!
China vita ya kiuchumi inamtoa kamasi! Hajui aiokoeje Huawei!
Uingereza BREXIT inawapasua kichwa balaa!!
France anaangalia namna ya kumpiga hela Iran kwa kudalalia usuluhishi!
Germany hofu imetanda ya recession!
Trump anawaza Uchaguzi.
Canada amemaindi wachina kususia minofu ya Nguruwe wake!!
India yuko kashmiiirrr!
Pakistan yuko kortin anapambania kashmir.
South Africa wameduwazwa na scandal ya Ramaphosa!!
Labda tutegemee muujiza wa WAFILISTI.
Bashite kamshauri eti yale magari ya kuwamwagia chadema maji ya kuwasha yanaweza kuukabili moto na atapongezwa mpaka na "Yassir Arafat" ('nakunong'oneza' hawajui kuwa mzee alishaga REST IN PEACE)Umeniua but jiwe veepe
Mrusi analipukiwa na manyuklia yake kwenye majaribio hana hamu kabiaaaa!!
China vita ya kiuchumi inamtoa kamasi! Hajui aiokoeje Huawei!
Uingereza BREXIT inawapasua kichwa balaa!!
France anaangalia namna ya kumpiga hela Iran kwa kudalalia usuluhishi!
Germany hofu imetanda ya recession!
Trump anawaza Uchaguzi.
Canada amemaindi wachina kususia minofu ya Nguruwe wake!!
India yuko kashmiiirrr!
Pakistan yuko kortin anapambania kashmir.
South Africa wameduwazwa na scandal ya Ramaphosa!!
Labda tutegemee muujiza wa WAFILISTI.
Kenya wana hangover ya 'Jameeika' (ndum)Tanzania yupo busy na Standard Gauge na Stiglers Gorge.
Uganda yupo anadhibiti Bobi Wine
Rwanda anasuruhisha suala la mipaka na Uganda.
Cameroon anapambana na waasi.
Ivory Coast inarekebisha miondombinu yake.
Tuendeleze....
Kama ulikuwepo kichwani mwa Mwanriii (anampigia jiwe hajapokea amsomeshe hiyoo)Jiwe si anaweza kutuma bombadia?
Sudan wako busy kumfunga Al BashiriTanzania yupo busy na Standard Gauge na Stiglers Gorge.
Uganda yupo anadhibiti Bobi Wine
Rwanda anasuruhisha suala la mipaka na Uganda.
Cameroon anapambana na waasi.
Ivory Coast inarekebisha miondombinu yake.
Tuendeleze....
Hii Dunia ipo busy sana.Sudan wako busy kumfunga Al Bashiri
Sisi Tz tuna pori la Burigi ndo tunalitegemea kupumuaTukianza kupumua kwa shida usishangae mkuu asilimia 20 ya hewa tunayovuta inatokana na msitu wa amazon
#prayforamazon