Brazil: Msitu wa Amazon unaendelea kuwaka moto

Amazon hatari sana
tapatalk_1567085878155.jpeg
 
Kwaiyo nia yao tukose oxygen tufe na sisi huku Africa sio
 
Madhambi yamezidi hilo linchi, Mungu anawaonyesha shenzi kabisa.

Brazil ina waislamu wachache sana unategemea watanusurika kweli? These estimates encompass a range of 0.02-0.75% of the Brazilian population. Ukiangalia hata timu yao ya taifa haina muislamu hata mmoja. Uasherati uchafu wote unapatikana pale..All in All ndio nchi pekee in south american watu wake wamejikita kwenye starehe/uchafu wa aina zote. Acha kiwapate mbwa hao waliopata laana. Na badoo

Mungu ibariki Tanzania
 
Kwa hiyo msitu kuungua ni laana?
Kuna wale maisha yao na nchi zao ni jangwani ingawa sijui ni dini gani wanapatikana huko na wala sijui asilimia zao, hao walipatwa na nini?
Maana wakati wenzao kule msitu unaungua wenyewe hewa na michanga ndiyo vinaungua.
Nadhani hawa itakuwa siyo laana kama wenzao bali wamelaanika au inakuwaje mkuu?
 
Ndio ni laana kama Qaumu luut walivyoangamizwa na Allah kwa kuingiliana nyuma. Brazil ndio nchi inayoongoza kwa maasi bara la amerika ya kusini, na nawaombea washushiwe naqma/Ghadhab kubwa kama walivyoangamizwa makafiri wa Qaumu luut walifumbwa macho wakawa hawaoni, wanagongana wenyewe kwa wenyewe, na kisha Allah SWT akaigeuza ardhi juu chini wakakandamizwa.
 
Back
Top Bottom