Afisa_Nkai
JF-Expert Member
- Jul 5, 2025
- 499
- 1,064
Aisee, Boss wa mke wako ni mmoja wa mfano wa kuigwa
hivyo vitomato vinakazi Gani hapo daslamu mkuu?Hiyo laki moja ujapewa bure mkuu..
Hapo kakupa ili ukanunue vidumu vya lita tano za TOMATO...
Mmmh tomato si unatumia kama mboga mkuu wengine wanaweka kwenye chipshivyo vitomato vinakazi Gani hapo daslamu mkuu?
Watu wa Mfano wake ni wacheche mno
Unaponda Ndoa za wake waajiriwa kijanja. Kataa Ndoa in a fake smile 😀Leo niliitikia wito wakwenda ofisini kwa mke wangu kuonana na boss wake kwaajili ya mazungumzo! Nimefika tumezungumza mambo mengi sana
Kubwa zaidi boss wake kasema nimruhusu mke wangu ampangie nyumba karibu na kazini ili awe anapata muda wakupumzika mapema nakufanya kazi zaidi maana ilikuwa inamlazimu aamke saa kumi usiku kuwahi kazini
Kwahiyo nyumbani atakuwa haji Kila jioni Tena kama ilivyokuwa awali! Atakuwa anakuja mara moja kwa wiki jumapili kwaajili ya kuniona na ibada. Nimekubali ombi la boss wake, jamaa alivyomkalimu kanipa na laki moja.
Mungu akubaribiki boss wa mke wangu
Mpangie mkeo nguo zake zote kwenye shangazi "amekamu" tayari kwa kuhamia makao mapya.Hongera sana mkuu.Leo niliitikia wito wakwenda ofisini kwa mke wangu kuonana na boss wake kwaajili ya mazungumzo! Nimefika tumezungumza mambo mengi sana
Kubwa zaidi boss wake kasema nimruhusu mke wangu ampangie nyumba karibu na kazini ili awe anapata muda wakupumzika mapema nakufanya kazi zaidi maana ilikuwa inamlazimu aamke saa kumi usiku kuwahi kazini
Kwahiyo nyumbani atakuwa haji Kila jioni Tena kama ilivyokuwa awali! Atakuwa anakuja mara moja kwa wiki jumapili kwaajili ya kuniona na ibada. Nimekubali ombi la boss wake, jamaa alivyomkalimu kanipa na laki moja.
Mungu akubaribiki boss wa mke wangu
Huyo boss Ana kaguu ka mtoto,na wewe una kabamia 🙃🎵🎶🎶🎼Leo niliitikia wito wakwenda ofisini kwa mke wangu kuonana na boss wake kwaajili ya mazungumzo! Nimefika tumezungumza mambo mengi sana
Kubwa zaidi boss wake kasema nimruhusu mke wangu ampangie nyumba karibu na kazini ili awe anapata muda wakupumzika mapema nakufanya kazi zaidi maana ilikuwa inamlazimu aamke saa kumi usiku kuwahi kazini
Kwahiyo nyumbani atakuwa haji Kila jioni Tena kama ilivyokuwa awali! Atakuwa anakuja mara moja kwa wiki jumapili kwaajili ya kuniona na ibada. Nimekubali ombi la boss wake, jamaa alivyomkalimu kanipa na laki moja.
Mungu akubaribiki boss wa mke wangu
wife ameniahidi Kila jumapili atakua akinipa yoteHuyo boss Ana kaguu ka mtoto,na wewe una kabamia 🙃🎵🎶🎶🎼
HahahahAu sio, nipe namba ya mke wako na mm nimchangie kidogo hela Kodi.
😁😁Unaponda Ndoa za wake waajiriwa kijanja. Kataa Ndoa in a fake smile 😀