Boss anajua siku zangu za period

Boss anajua siku zangu za period

Teh teh teeeh!! Mambo gani sasa haya!
Atoto mamii,leo nimeshangaa sana na baadhi ya wanawake duniani,yaani mwanamke anakuja jukwaani kuanika kuhusu hedhi yake na boss wake? ama kweli kuna watu hawana haya kuliko wauzaji wa OHIO.
 
Mimi ni secretary boss wangu ni mzee sana anajiheshimu sana sana ana miaka 55 hivi
kila nikiwa period anajua ,ananiuliza inabidi tu nikubali
naona aibu sana mwanaume anajua nipo period nifanyeje jamani ,na kwanini ananiulizaga?
Uwe na adabu, kwako mwenye miaka 55 ni mzee?
 
Mpaka kumjibu juwa anapenda kuulizwa na yeye. Angekuwa anachukia angemchenjia toka siku ya kwanza. Anachotaka hapa si ushauri kuhusu swali la boss la siku zake za mwezi anachotaka ni go ahead kuwa huyo fataki anamtaka kimapenzi na yeye akubali maana ndani nafsi yake keshakubali akivuta picha maisha mazuri ya kuwa mchepuko wa boss.
Yaani umelenga palepale Mkuu.
 
Kwanza hadi hapa kuna walakini na huyu mzee na wewe...anyway nitafute pm nikusaidie
 
Maumbile yalivyo unajulikana tu. Ukiwa period au ukiwa katika kipindi cha ovulation mwanamke unajulikana.
 
Back
Top Bottom