Boss anajua siku zangu za period

Boss anajua siku zangu za period

Mimi ni secretary boss wangu ni mzee sana anajiheshimu sana sana ana miaka 55 hivi
kila nikiwa period anajua ,ananiuliza inabidi tu nikubali
naona aibu sana mwanaume anajua nipo period nifanyeje jamani ,na kwanini ananiulizaga?
Kwa hesabu hizo anajua na siku unapokuwa kwenye heat period! Si vibaya
 
Kwani miss wewe una umri gani mamy
 
Mimi ni secretary boss wangu ni mzee sana anajiheshimu sana sana ana miaka 55 hivi
kila nikiwa period anajua ,ananiuliza inabidi tu nikubali
naona aibu sana mwanaume anajua nipo period nifanyeje jamani ,na kwanini ananiulizaga?
shika mimba hutakua period
 
nachojiuliza ni je huwa anajuaje kuwa upo period? au mwenzetu hata physically tu huwa unaonekana?
 
Dawa akihuliza maswala ya period jifanye kama hujamsikia au usimjibu kaa kimya ukimjibu utakuwa unampa ushirikiano ataendelea kukuhuliza kila siku mpaka ofisi nzimaaaa.... Watajua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom