Boss anajua siku zangu za period

Boss anajua siku zangu za period

Mimi ni secretary boss wangu ni mzee sana anajiheshimu sana sana ana miaka 55 hivi
kila nikiwa period anajua ,ananiuliza inabidi tu nikubali
naona aibu sana mwanaume anajua nipo period nifanyeje jamani ,na kwanini ananiulizaga?
Kikawaida m/ke anapokaribia ama anapokuwa kwenye period huwa kuna dalili anazionesha so hienda mzee kaisha kusoma[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwa hali ya kawaida ungeweza kumfungulia kesi ya sexual harassment, hayo maswali ni very personal mtu anaetakiwa kuyajua ni yule mnaeshare private parts tu.
 
hata mimi najuaga mwanamke akiwa period...sio ajabu nikipaji tu cha experience
 
Kwa hali ya kawaida ungeweza kumfungulia kesi ya sexual harassment, hayo maswali ni very personal mtu anaetakiwa kuyajua ni yule mnaeshare private parts tu.
sipendi maswali yake ila sina jinsi ndo kaniweka mjini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom