Machache kuhusu mimi

Machache kuhusu mimi

Uelekeo

Senior Member
Joined
Oct 2, 2026
Posts
196
Reaction score
278
Naeleza machache kuhusiana na Mimi baada ya maswali ya wadau nilipopost Uzi wa wife kunizingua mchana

Kuna wameniuliza kuhusu umri wangu n.k

Kwa kifupi tu Uelekeo ni baba wa familia ya watoto wanne binti wawili na wavulana wawili

Pia ni Kaka mkubwa yaani first born nikiwa na wadogo zangu watano mzee alishakufa so nasimama Kama baba na natekeleza majukumu yangu vizuri tu toka nimekabidhiwa koti la marehemu baba miaka 7 iliyopita

Nafanya shughuli zangu binafsi nikisaidiwa na vijana wangu kadhaa

Kule church nimepewa ushemasi toka January 2025 na natekeleza vizuri tu wajibu wangu wa kikanisa na naziona dalili za kua made kabisa mbele yangu huko

Kwenye ukoo wazee wameshaanza kunibebesha majukumu na kwa Sasa ni msaidizi wa katibu wetu wa ukoo

Mwaka juzi 2024 nimewakwepa Sana viongozi wa hapa mtaani kwetu manake walitaka kunibebesha majukumu mengine hususan huyu mwenyekiti wetu wa mtaa akisaidiana na balozi wangu

Hakuna kitu napenda na kuthamini kama familia yangu sema huyu mngoni wangu ujuaji mwingi na ubishi bila kusahau gubu la hapa na pale, na kamdomo sijamaliza sentensi moja keshaongea 30 ukinyamaza unamdharau ukiongea unabishana nae

Kuepusha Mambo yasiwe mengi NI kujisogeza tu hapo pub vyupa vipambe meza

Niko hapa jamani Sasa hivi inapigwa ile wimbo "BWANA tupe amani"

HERE WE GO
 
Naeleza machache kuhusiana na Mimi baada ya maswali ya wadau nilipopost Uzi wa wife kunizingua mchana

Kuna wameniuliza kuhusu umri wangu n.k

Kwa kifupi tu Uelekeo ni baba wa familia ya watoto wanne binti wawili na wavulana wawili

Pia ni Kaka mkubwa yaani last born nikiwa na wadogo zangu watano mzee alishakufa so nasimama Kama baba na natekeleza majukumu yangu vizuri tu toka nimekabidhiwa koti la marehemu baba miaka 7 iliyopita

Nafanya shughuli zangu binafsi nikisaidiwa na vijana wangu kadhaa

Kule church nimepewa ushemasi toka January 2025 na natekeleza vizuri tu wajibu wangu wa kikanisa na naziona dalili za kua made kabisa mbele yangu huko

Kwenye ukoo wazee wameshaanza kunibebesha majukumu na kwa Sasa ni msaidizi wa katibu wetu wa ukoo

Mwaka juzi 2024 nimewakwepa Sana viongozi wa hapa mtaani kwetu manake walitaka kunibebesha majukumu mengine hususan huyu mwenyekiti wetu wa mtaa akisaidiana na balozi wangu

Hakuna kitu napenda na kuthamini kama familia yangu sema huyu mngoni wangu ujuaji mwingi na ubishi bila kusahau gubu la hapa na pale, na kamdomo sijamaliza sentensi moja keshaongea 30 ukinyamaza unamdharau ukiongea unabishana nae

Kuepusha Mambo yasiwe mengi NI kujisogeza tu hapo pub vyupa vipambe meza

Niko hapa jamani Sasa hivi inapigwa ile wimbo "BWANA tupe amani"

HERE WE GO
Sahivi uko wapi?
 
Back
Top Bottom