James_de_Pedro
Senior Member
- Aug 4, 2016
- 165
- 73
Anakutaka kimapenzi huyo
Kijana loh...sikujua ka ujana mpaka kwenye 50's....mbona bado mbichi sana huyo ,55 engine bado sana hiyo acha kumzeesha Kijana wa watu bibie
habari ndiyo hiyo msituzeeshe bibieKijana loh...sikujua ka ujana mpaka kwenye 50's....
Thnx for making my day he he he my ribs!!habari ndiyo hiyo msituzeeshe bibie
Sio wote..huyu ukute akiwa mp anajilegeza...au anaumwa na kutojikaza....au anapenda kujiangalia angalia nyuma...au siku za mp anakua hayuko smartk km normal days...watu tumekaa na mama zetu na sikubali ajue km niko mp...nikiumwa najikaza..km ni tumbo nitasingizia naumwa kichwa...pedi ht haioni....sasa wengine mpk pedi analishika anapita nalo sebulen mmhMWANAMKE YEYOTE AKIWA PERIOD ANAJULIKANA
mie hata ukisingizia kichwa bado ntakujua tuSio wote..huyu ukute akiwa mp anajilegeza...au anaumwa na kutojikaza....au anapenda kujiangalia angalia nyuma...au siku za mp anakua hayuko smartk km normal days...watu tumekaa na mama zetu na sikubali ajue km niko mp...nikiumwa najikaza..km ni tumbo nitasingizia naumwa kichwa...pedi ht haioni....sasa wengine mpk pedi analishika anapita nalo sebulen mmh
Kwakifupi i hate mtu ajue niko mp isipokua husby haizuiliiki
hebu tuwe tunaonana mie nawewe kila mara ila kuna siku tu utakuwa tofauti na unavyokuaga kila mwezimm huwezi kujuakabisa yani hata ukisie vipi hujui kaibisa
Aah wapmie hata ukisingizia kichwa bado ntakujua tu
Kbsaaa hazingatie hili uenda unatumia matambaraa au chochote chenye kuruhusu harufu... Tumi HQ pad na zipo poa kuvaa nguo ya rangi yoyoyeeUsikute unatoaga harufu baba wa watu anaisikia
anakuwaje?MWANAMKE YEYOTE AKIWA PERIOD ANAJULIKANA
Kikwete si aligombea na miaka 55 wakasema ni kijana!Kijana loh...sikujua ka ujana mpaka kwenye 50's....
Duh!weye kweli tofali nimekukubali wenzio wengi kama ulivyosema inakuwa mpaka kero upande wetu wanamume yaani ikifika unajua shughuli unayo hekaheka sio mchezo sasa weye umejipambanua uzuri kabisa nakupongeza.Sio wote..huyu ukute akiwa mp anajilegeza...au anaumwa na kutojikaza....au anapenda kujiangalia angalia nyuma...au siku za mp anakua hayuko smartk km normal days...watu tumekaa na mama zetu na sikubali ajue km niko mp...nikiumwa najikaza..km ni tumbo nitasingizia naumwa kichwa...pedi ht haioni....sasa wengine mpk pedi analishika anapita nalo sebulen mmh
Kwakifupi i hate mtu ajue niko mp isipokua husby haizuiliiki
Kuna watu nimesoma nao..nimeishi nao wengine kazini...yn kuwatarifu watu yuko mp haoni shida...kuna mmoja ofisin aliniacha hoi mdada mkubwa kabisaaa wa 1981 katoka kubadili pedi (toilet hamna dustin ipo nje ya mlango wa choo) badala aende kwa dustin moja kwa moja..katukuta kuna issue tunadiscuss ofisin (next to toilet)kaja na pedi lake mkononi liko kwa cover ya pink isssshhhhh yn i had to tell her plzzzzz....ingawa sikatai kuna watu ikifika mp ataumwa mpk achomwe sindano ndio apone..but wengine mmhDuh!weye kweli tofali nimekukubali wenzio wengi kama ulivyosema inakuwa mpaka kero upande wetu wanamume yaani ikifika unajua shughuli unayo hekaheka sio mchezo sasa weye umejipambanua uzuri kabisa nakupongeza.