Boss anajua siku zangu za period

Boss anajua siku zangu za period

Mkiwa Period huwa mnavimba USO...sisi mabazaz huwa tuna watambua
 
Period has never diagnosed as as a disease, why feeling shy??
 
Kwa hali ya kawaida kywa mwezini ni siri kubwa. ukisema mnakulana nitakuelewa. hapo ni sawa boss akuambie leo umevaa chupi nyekundu. amejuwaje? lazima umempanulia.
 
Kwa hali ya kawaida kywa mwezini ni siri kubwa. ukisema mnakulana nitakuelewa. hapo ni sawa boss akuambie leo umevaa chupi nyekundu. amejuwaje? lazima umempanulia.
Kwamba Boss anajua akiona siku hiyo hapanuliwi?
 
Hapo hakuna kuheshimiana mbona yeye amekuuliza, kwann asipige kimpya nawe muulize amejuaje.
 
Mimi ni secretary boss wangu ni mzee sana anajiheshimu sana sana ana miaka 55 hivi
kila nikiwa period anajua ,ananiuliza inabidi tu nikubali
naona aibu sana mwanaume anajua nipo period nifanyeje jamani ,na kwanini ananiulizaga?
Miss Nafuta are you serious???what!!!
 
huko hana shida tena nanataka nikaishi kwake basi tu sitaki
Anataka personal assistant kumbe, u secretary haumtoshi. Wewe mtu mzima, unajua linaloendelea na linakupendeza. Kwa nini hukueleza tangu mwanzo kuwa anakuta kimapenzi?
 
Mimi ni secretary boss wangu ni mzee sana anajiheshimu sana sana ana miaka 55 hivi
kila nikiwa period anajua ,ananiuliza inabidi tu nikubali
naona aibu sana mwanaume anajua nipo period nifanyeje jamani ,na kwanini ananiulizaga?
Utakuwa na umbo bovu kama la mhindi au mchaga na unavaa hovyoo kabisa..! Shame on you.
 
Kuna watu wanasemaga wanapata mvuto fulani wa kujisikia kiaina wala si kimahaba, na waligundua ni kwa kuwa laribu na aliye kwenye MP. Hata wanawake wanaipata. Ila huyo mbaba sijui kwanini anakutaarifu kabisa na sio kujikalia kimya.
 
Mimi ni secretary boss wangu ni mzee sana anajiheshimu sana sana ana miaka 55 hivi
kila nikiwa period anajua ,ananiuliza inabidi tu nikubali
naona aibu sana mwanaume anajua nipo period nifanyeje jamani ,na kwanini ananiulizaga?
Miaka 55 ndo mzee sana na ilikuwaje akajua siku zako!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom