Boss anajua siku zangu za period

Boss anajua siku zangu za period

Mimi ni secretary boss wangu ni mzee sana anajiheshimu sana sana ana miaka 55 hivi
kila nikiwa period anajua ,ananiuliza inabidi tu nikubali
naona aibu sana mwanaume anajua nipo period nifanyeje jamani ,na kwanini ananiulizaga?
Kuwa smart zaidi inaonekana ww ni mnene
 
Siku hizi ni kawaida sana kichat tu na rafiki wa kike akakuambia yupo hedhi. Sijui kwa wengine, ila kwangu naona kuna kitu hakiko sawa! Hedhi iwe siri yako....au na mumeo tu!!
 
Mimi ni secretary boss wangu ni mzee sana anajiheshimu sana sana ana miaka 55 hivi
kila nikiwa period anajua ,ananiuliza inabidi tu nikubali
naona aibu sana mwanaume anajua nipo period nifanyeje jamani ,na kwanini ananiulizaga?
Miaka 55 sio mzee sana.
 
Siku ile ulimwambia leo siko vizuri! Akaanza kuhesabu....Hao ndo wazee wa mjini bana....mpaka umpe.
 
Alipokuuliza ungakataa kwani angekukagua?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom