Boss anajua siku zangu za period

Boss anajua siku zangu za period

Mimi ni secretary boss wangu ni mzee sana anajiheshimu sana sana ana miaka 55 hivi
kila nikiwa period anajua ,ananiuliza inabidi tu nikubali
naona aibu sana mwanaume anajua nipo period nifanyeje jamani ,na kwanini ananiulizaga?
Miaka 55 ni mzee??? Mmhh. Kwan ww una miaka 19 au 20?
 
Mbona ni kitu rahisi sana kumgundua mwanamke anaekaribia au ambaye yupo pm...wengi wao hutokwa na vipere usoni...mara wawapo kwenye siku zao hivyo usishangae pengine kuna alama uliyonayo inayompa viashiria kuwa upo pm...hakuna cha ajabu hapo ila la ajabu ni yeye kujifanya anakujua zaidi ya unavyojijua wewe mwenyewe
MP.....
 
Mimi ni secretary boss wangu ni mzee sana anajiheshimu sana sana ana miaka 55 hivi
kila nikiwa period anajua ,ananiuliza inabidi tu nikubali
naona aibu sana mwanaume anajua nipo period nifanyeje jamani ,na kwanini ananiulizaga?

Usijekuta boss wako ndio mmiliki wa duka unalouza kila unapochukua pedi anakuona [emoji2]
 
Hua unanuka na tumbo lako linaunguluma kwa mlio wa sauti ya juu pindi ukiwa karibu nae,na ndio maana anakusoma,pili udhaifu wako nao niwakijinga inatakiwa ujiongeze ili usidhalalishe wanawake wezako,huna hata haya we!! Ndio maana beberu hunusa mkojo kwa viashilia vya kujua km mbuzi jike ana mimba lkn mwanadamu lzma apeleke maabara,kwahiyo huyo boss wako anahisia za mnyama kaanae makini,,, (unanuuuuka pindi ukiwa period)
 
Mimi ni secretary boss wangu ni mzee sana anajiheshimu sana sana ana miaka 55 hivi
kila nikiwa period anajua ,ananiuliza inabidi tu nikubali
naona aibu sana mwanaume anajua nipo period nifanyeje jamani ,na kwanini ananiulizaga?
Yaani azuke tu na kujua kwamba unavuja? hapo sio bure kuna kitu,wewe sema kweli tu usifiche maana hailo jambo la siri sana kwa mwanamke,kwa hiyo wewe ndio unajua ulimgeya au ?
 
Mimi ni secretary boss wangu ni mzee sana anajiheshimu sana sana ana miaka 55 hivi
kila nikiwa period anajua ,ananiuliza inabidi tu nikubali
naona aibu sana mwanaume anajua nipo period nifanyeje jamani ,na kwanini ananiulizaga?
Halafu wakati mwingine period huwa zina harufu kali sana ujue,kwa hiyo jaribu kubadilisha pedi maranyingi.
 
boss wako mbona yupo sawa na lemutuz na lemutuzi sio mzee sema ni mtu wa viwanjwa na wabebezi wakali
 
Mbona kama una mpa nafasi akuzowee? aliazaje mpaka afike huko kote? alikuonananini? unaumwa sanaaa au ?
Mie ningemkata jicho asinge rudia tena kuuliza na mijicho yangu hii mikubwa angejuta kaniulizia nini...
Lakini mamii kama ujuavyo kama watu waliishafunuana hilo swali ni kama kachumberi tuu,hawa inaonesha ni item.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom