Boss anajua siku zangu za period

Boss anajua siku zangu za period

Mmmm kunahali Fulani labda unakua nayo ndo mana anajuaga
 
Wazee ni hazina ila huyo mzee anaonekana mkware si bure mwishowe atakuomba kitumbua
 
nimecompare majibu yako unaonekana unapenda na umeridhishwa na hiyo hali so go ahead
 
Mimi ni secretary boss wangu ni mzee sana anajiheshimu sana sana ana miaka 55 hivi
kila nikiwa period anajua ,ananiuliza inabidi tu nikubali
naona aibu sana mwanaume anajua nipo period nifanyeje jamani ,na kwanini ananiulizaga?
Hehe
 
nitamuulizaje mzee ana heshima zake huyu ohoo
Mwenye heshima zake huwa anaulizia period isiyo ya mkewe?jiangalie binti,kwani kujiheshimu kwako ni kitu gani lkn?ndio maana mnaushia kumegwa bila kujijua kwa kuwaamini wasio aminika!be careful,
 
wabongo period tunachukulia kama jambo gani sijui,mimi kuna msichana niliwahi kufanya nae kazi sehemu fulani alikuwa akiwa period haoni aibu kuniambia,sometimes anaumwa tumbo na anasema kabisa ni tumbo la period na wala sikuwa na mahusiano naye kimapenzi.anyway kwani mara ya mwisho kukuuliza ilikuwa tarehe ngapi?🙂
 
Unatoa harufu tofauti ndio maana huenda anakerwa nayo aidha nae mtata kuweza kukutamkia
 
Hahahaaa anakuvizia. Usikute amechora cycle yako nzima kwenye diary yake!
 
Back
Top Bottom