Boss anajua siku zangu za period

Boss anajua siku zangu za period

Mbona kama una mpa nafasi akuzowee? aliazaje mpaka afike huko kote? alikuonananini? unaumwa sanaaa au ?
Mie ningemkata jicho asinge rudia tena kuuliza na mijicho yangu hii mikubwa angejuta kaniulizia nini...
Napenda macho makubwa. Nitumie picha yako PM mkuu.
 
Mimi ni secretary boss wangu ni mzee sana anajiheshimu sana sana ana miaka 55 hivi
kila nikiwa period anajua ,ananiuliza inabidi tu nikubali
naona aibu sana mwanaume anajua nipo period nifanyeje jamani ,na kwanini ananiulizaga?
Anapokuuliza huwa anasemaje? "hebu mnukuu hapa" ili tujue anajiheshimu kiasi gani
 
Mimi ni secretary boss wangu ni mzee sana anajiheshimu sana sana ana miaka 55 hivi
kila nikiwa period anajua ,ananiuliza inabidi tu nikubali
naona aibu sana mwanaume anajua nipo period nifanyeje jamani ,na kwanini ananiulizaga?

Boss ana miaka 55 na wewe una mungapi
 
dah umenikumbusha jamaa angu alikuwa anarafiki ake huyo jamaa bwana alikuwa kwao kuna mtu anableed alafu akapika chakula jamaa hali hicho chakula sasa hiyo hali ikaendelea hivo hivo mama ake akaanza shtuka inakuaje huyu mtoto hali ikabidi aanze mfuatilia akaja gundua akiwa period akipika yeye mtoto hali kabisa, kuna siku akaacha pija yeye alipokuwa anableed mtoto akala akajuaa aah kumbe basi hata dada zake wakipika hali ikawa ni ile ile jamaa hata akienda mgahawani kula kama kuna mtu anableed anamjua na hali huo mgahawa kabisa sasa sijui kuna mahusiano gani kwenye ilo swala labda wajuvi wa mambo watuambie
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom