K ingekua bora mpaka mzee akajua uko p?? Embu acha kujisifia kijinga, au ndo type zakoningekuwa na harufu nisingeuliza halafu kama ushazoea kula k mbovu usidahini wote tupo hivo watu tuna k zenye ubora babu
Huyo anataka kwako kwangu, kwako kwangu, kwako kwangu,Mimi ni secretary boss wangu ni mzee sana anajiheshimu sana sana ana miaka 55 hivi
kila nikiwa period anajua ,ananiuliza inabidi tu nikubali
naona aibu sana mwanaume anajua nipo period nifanyeje jamani ,na kwanini ananiulizaga?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haki ya Mungu kuna mijitu inajua kufurahishaamaboss wa steshenary shop hawanaga hela sana,labda angekuwa boss wa masumin stationary
Ss kumbe umeshajua sababu ya kujuahuwa naumwa kiasi pia chunusi maybe
ni dalili gan bossKikawaida m/ke anapokaribia ama anapokuwa kwenye period huwa kuna dalili anazionesha so hienda mzee kaisha kusoma[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Itakuwa unatoa harufu.....
Kuna baadhi ya wanawake wakiwa period jasho lao hubadilika hutoa kiharufu fulani
Badilisha perfume..
Badilisha pedi mara kwa mara
Kama unakuwa na vihasira jicontrol
nitamuulizaje mzee ana heshima zake huyu ohoo
Ukiona hivyo mmesha-cross line!Mimi ni secretary boss wangu ni mzee sana anajiheshimu sana sana ana miaka 55 hivi
kila nikiwa period anajua ,ananiuliza inabidi tu nikubali
naona aibu sana mwanaume anajua nipo period nifanyeje jamani ,na kwanini ananiulizaga?
Umenena vyema mkuuUyu aliamua tu kutuambia humu na karibia ataanza kujifia anavyotunzwa na pedi ananunuliwa na boss
Aaaa aaaaa! !siwezi kummind ananisaidia mambo mengi sana huyu mzee .
Mimi ni secretary boss wangu ni mzee sana anajiheshimu sana sana ana miaka 55 hivi
kila nikiwa period anajua ,ananiuliza inabidi tu nikubali
naona aibu sana mwanaume anajua nipo period nifanyeje jamani ,na kwanini ananiulizaga?
...na ukienda kwenye ndumba yumo, sasa sijui kundi gani anafit zaidi!Ila mleta mada naye uum. Siku kadhaa nyuma alileta uzi anatafuta mtu (kama sikosei). Leo oh bosi sijui anamuuliza nini.
Mpaka kumjibu juwa anapenda kuulizwa na yeye. Angekuwa anachukia angemchenjia toka siku ya kwanza. Anachotaka hapa si ushauri kuhusu swali la boss la siku zake za mwezi anachotaka ni go ahead kuwa huyo fataki anamtaka kimapenzi na yeye akubali maana ndani nafsi yake keshakubali akivuta picha maisha mazuri ya kuwa mchepuko wa boss.Inawezekana anakuona kama binti yake, kuwa tu mwangalifu weka mipaka katika uhusiano, vingine akikuuliza unambadilikia usoni na unamuuliza anamaanisha nini?