Boss anajua siku zangu za period

Boss anajua siku zangu za period

Mimi kipindi nipo jkt nilisoma tàaswira ya Dada mmoja nikamuuliza swali kama hilo, sikuamini aliniganda kutaka kujua nimejuaje kama yuko kwenye siku zake aliniona mtaalam fulan. Maana ilikua 6wk kiukweli mwenendo wake na sura yake ndo vilinifanya nimuulize vile
 
Bora yako Ma secretary wengine wao ndio husema siku zao maana mabosi huwaomba game kila siku
 
Mimi ni secretary boss wangu ni mzee sana anajiheshimu sana sana ana miaka 55 hivi
kila nikiwa period anajua ,ananiuliza inabidi tu nikubali
naona aibu sana mwanaume anajua nipo period nifanyeje jamani ,na kwanini ananiulizaga?
Bosi ameanza na siku zako atahamia kwenye mambo mengine ipo siku atakuambia jana umetoa unyumba eee[emoji27] [emoji27] [emoji27] . Muonyeshe unakerwa na hilo jambo we ukijilegeza legeza ipo siku atakutafuna kama mifupa ya kuku wa kisasa ohoo
 
Ww ulipoulizwa si ungekataa yote umeyataka mwenyewe au unaekaga ma paket ya PED juu juu Kila mtu aone
 
Mimi ni secretary boss wangu ni mzee sana anajiheshimu sana sana ana miaka 55 hivi
kila nikiwa period anajua ,ananiuliza inabidi tu nikubali
naona aibu sana mwanaume anajua nipo period nifanyeje jamani ,na kwanini ananiulizaga?
Umekuwa secretary wake kwa mda gani kama ni zaidi ya mwaka kwa mwanaume mchunguzi ma mambo lazima ajue ila pole
 
Mimi ni secretary boss wangu ni mzee sana anajiheshimu sana sana ana miaka 55 hivi
kila nikiwa period anajua ,ananiuliza inabidi tu nikubali
naona aibu sana mwanaume anajua nipo period nifanyeje jamani ,na kwanini ananiulizaga?
1470854597734.jpg
 
Mzee anaonesha uzoefu wake
  1. una mavazi maalum wakati wa siku zako
  2. Hulalamika kichwa chakuuma ktk siku zako
  3. Huvaa pedi vibaya kiasi kuonekana ndani ya mavazi yako
  4. Mnatumia choo kimoja ktk ofisi na kubakiza dalili zote za mwanamke kuwa kati siku zake
  5. Hubadilisha pedi wakati wa kazi na kuitupa ovyo ktk choo cha ofisi
  6. Sababu zote walizotoa wadau hapo juu.
 
Mimi ni secretary boss wangu ni mzee sana anajiheshimu sana sana ana miaka 55 hivi
kila nikiwa period anajua ,ananiuliza inabidi tu nikubali

naona aibu sana mwanaume anajua nipo period
nifanyeje jamani ,na kwanini ananiulizaga?[/
QUOTE]

Utakuwa unapenda kujamba sana
 
Mimi ni secretary boss wangu ni mzee sana anajiheshimu sana sana ana miaka 55 hivi
kila nikiwa period anajua ,ananiuliza inabidi tu nikubali
naona aibu sana mwanaume anajua nipo period nifanyeje jamani ,na kwanini ananiulizaga?
Simba wakicheza utawajua tu,mbwembwe+kelele kibao
 
Back
Top Bottom