Uyui HB
JF-Expert Member
- Aug 5, 2016
- 553
- 512
Ulisomea wapi hivyo coz? Unaonekana hukuiva vizuri,, nilikuwa field,, nikasikia wanaambiwa boss akikutongoza usimkatae,,Pia siku Hedhi sio siri kwa watu wakaribu kama boss na mimi mbona nanunua Pedi za Bint yangu kila mwezi,, maana mi ndo mama na babayakee,,,na anasema tu Baba hela ya pedi harafu mtoto wangu wala habebelezi wala kupepesa machoo,,