Weee endelea kumsoma mamy atakaposema...jamboo...muwakie ukiwa na reference ya kukuambia uko period..but..watchoutshika mimba hutakua period
Hatari (nyekundu)! Suala langu la pili :Je wewe ni PS au OMS au copy typist tuanzie hapoMimi ni secretary boss wangu ni mzee sana anajiheshimu sana sana ana miaka 55 hivi
kila nikiwa period anajua ,ananiuliza inabidi tu nikubali
naona aibu sana mwanaume anajua nipo period nifanyeje jamani ,na kwanini ananiulizaga?
Njia tatu ya kumjua mwanamke yupo kwenye periodingekuwa harufu kila mtu angejua? zikikaribia ndo huwa anaanza kuniuliza kama ameshika tarehe vile
Inamaana ulivyoajiriwa tu huyo boss akaanza kukwambia uko hedhi kuanzia huo mwezi wa kwanza kazini??Mimi ni secretary boss wangu ni mzee sana anajiheshimu sana sana ana miaka 55 hivi
kila nikiwa period anajua ,ananiuliza inabidi tu nikubali
naona aibu sana mwanaume anajua nipo period nifanyeje jamani ,na kwanini ananiulizaga?
Inawezekana bosi anachapa mzigo kutokana na anavyojibu comment humuAssume Secretary ana 40 yrs, mana dada hajasema ana umri gn! Anaweza kuwa bf wake huyu
Unatafuta nini?Mimi ni secretary boss wangu ni mzee sana anajiheshimu sana sana ana miaka 55 hivi
kila nikiwa period anajua ,ananiuliza inabidi tu nikubali
naona aibu sana mwanaume anajua nipo period nifanyeje jamani ,na kwanini ananiulizaga?
Asa kama anakusaidia mambo mengi basi kumbe mnajuana vingi zaidi ya kujua iyo period yakosiwezi kummind ananisaidia mambo mengi sana huyu mzee .
"mambo mengi"siwezi kummind ananisaidia mambo mengi sana huyu mzee .
Ni namna tu ya kutudokezea ameanza kutoka na boss si unajua wambea wana njia nyingi za kufikisha ujumbeUnatafuta nini?
Kiki au mtu aina ya huyo mzee?
Uyu aliamua tu kutuambia humu na karibia ataanza kujifia anavyotunzwa na pedi ananunuliwa na bossInawezekana bosi anachapa mzigo kutokana na anavyojibu comment humu
Ushasema anakusaidia mengi na mengi ujasema....ata sie huwa tunaulizwa na wenzi wetu tukikaribiaingekuwa harufu kila mtu angejua? zikikaribia ndo huwa anaanza kuniuliza kama ameshika tarehe vile
Inawezekana kuna kaharufu fulani huwa kanamfikia vinginevyo hunda huwa unabadilika sura kidogo labda kwa kuhisi maumivu. Ila usijali mana ni kitu cha kawaidaMimi ni secretary boss wangu ni mzee sana anajiheshimu sana sana ana miaka 55 hivi
kila nikiwa period anajua ,ananiuliza inabidi tu nikubali
naona aibu sana mwanaume anajua nipo period nifanyeje jamani ,na kwanini ananiulizaga?
Aache kazi kwa lipi?acha kazi.
We hutamuuliza?niPM cv zako utafanya kazi kwenye ofisi yangu.