Hi Asha... [emoji23]

Hi Asha... [emoji23]

baharia 1

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2019
Posts
2,981
Reaction score
4,359
MEMORIES OF 2019.

Sitasahau Hasira Niliyopata Baada ya Kutongoza Mwanaume Mwenzangu kwa SMS kwa Makosa ya Namba.

Wakuu, niwarudishe nyuma kidogo miaka 7 iliyopita, ilikuwa ni mwaka 2019. Kipindi hicho nilikuwa kijana wa miaka 19 ndio kwanza damu inachemka na akili ya ujana inawaka moto wa kutaka mademu.

ilinitokea kipindi kile, na hadi leo nikikumbuka nacheka kwa hasira sana.
kuna demu alikuwa anaitwa Asha Nilichukua namba yake, lakini wakati wa ku-save nikajichanganya nikakosea tarakimu moja bila kujua.

Usiku nikaona nianze mchakato wa SMS za kawaida. Nikaanza kufungua mazungumzo

Mimi, Mambo poa Asha? Uko poa kipenzi?
Sasa ile namba iliyopokea ilikuwa ya jamaa mmoja, mwanaume wenzangu. Na yeye, kwa vile aliona namba ngeni imemtumia meseji ya mahaba na kutaja jina "Asha", alifikiri mimi ninayeandika ni mwanamke nimepotea namba

Jamaa naye akaona fursa ya kupata mtoto wa kike imemshukia, akajaa mzima mzima akijua anachat na demu, Akajibu haraka sana

Jamaa, Mambo poa kabisa mpenzi, uko poa?

Aisee, kupata lile jibu nikiwa na miaka 19, nikajua "Asha ameshajaa kwenye kumi na nane zangu.
Kumbe upande wa pili na yeye anajua anachat na demu, Tukawa tunatupiana SMS za mahaba mazito, mimi namtongoza nikijua ni demu, na yeye ananijibu kwa dhati kabisa akijua anamtongoza demu aliyejichanganya namba.

Mambo yakaenda kasi sana kwa SMS. Hamu ilipozidi na kwa vile sikuwa na subira ya ujana, nikamwambia,

Mimi, "Lini tuonane maana nimekumiss sana

Jamaa, "Hata sasa hivi mpenzi, uko wapi?

Moyo ulilipuka kwa furaha Nikaona hapa dili lishakaa sawa, nikaamua kumuuliza swali la kiuhuni la chumbani ili kuamsha mzuka kabisa

Mimi, "Haya, tukiwa chumbani nini unapenda nikutendee au nini unapenda tufanye?

Wakuu, jibu lilirudi likiwa la kiume na la kihuni kwelikweli (kumbuka jamaa anajua anajibu mwanamke).
Jamaa akatuma SMS kavu: "Nitakunyonya Kum na maneno mengi machafu machafu [emoji725][emoji2961].

Dah, Ile SMS ilitua kwenye screen kama radi. Hapo ndipo akili yangu iliposhtuka na kugundua mchezo mzima. Nikasema "*****! kwa sauti ya juu peke yangu chumbani. Nikajua hapa tumepigwa changa la macho wote wawili, Kumbe niko hapa nasugua vidole nikijua natongoza demu, na yeye upande wa pili kashajipanga kuja kukutana na demu wa kumfanyia hivyo vitu.

Mbaya zaidi, kipindi chote hicho cha SMS, Asumani wangu (kijana wa chini) alikuwa ameshapandisha mzuka wa hatari, yuko juu juu anasubiri Asha afie juu asumani, ile taarifa mbaya na ya kikatili ilipomfikia Asumani kwamba hakuna Asha hapa bali ni dume mwenzetu ana njaa zake, aliumia sana! Alishuka na kusinyaa kwa kasi ya ajabu, aliumia kwa mshtuko kana kwamba amemwagiwa maji ya barafu.

Alidhalilika sana kwa masikitiko baada ya doria yote ile kwenda hewani.

Hapa ndipo ninapolaani kwa nguvu zote! Mungu amlaani huyo jamaa kwa maneno yake machafu, na Mungu anilaani na mimi kwa upumbavu wa kukurupuka bila kuhakiki namba.

Yaani unaandika vitu vya kijinga na vya hovyo bila hata kujua upande wa pili kuna nani? Hizi ni laana kabisa! Aliyeturoga vijana.

Yule jamaa namlaani mpaka Leo apigwe na radi, Tangu siku hiyo, namba ngeni ikituma SMS, kwanza napiga simu nisikie sauti ya dume au jike [emoji23][emoji23].
 
Dah, Ile SMS ilitua kwenye screen kama radi. Hapo ndipo akili yangu iliposhtuka na kugundua mchezo mzima. Nikasema ma ma e! kwa sauti ya juu peke yangu chumbani. Nikajua hapa tumepigwa changa la macho wote wawili, Kumbe niko hapa nasugua vidole nikijua natongoza demu, na yeye upande wa pili kashajipanga kuja kukutana na demu wa kumfanyia hivyo vitu.
 
MEMORIES OF 2019.

Sitasahau Hasira Niliyopata Baada ya Kutongoza Mwanaume Mwenzangu kwa SMS kwa Makosa ya Namba.

Wakuu, niwarudishe nyuma kidogo miaka 7 iliyopita, ilikuwa ni mwaka 2019. Kipindi hicho nilikuwa kijana wa miaka 19 ndio kwanza damu inachemka na akili ya ujana inawaka moto wa kutaka mademu.

ilinitokea kipindi kile, na hadi leo nikikumbuka nacheka kwa hasira sana.
kuna demu alikuwa anaitwa Asha Nilichukua namba yake, lakini wakati wa ku-save nikajichanganya nikakosea tarakimu moja bila kujua.

Usiku nikaona nianze mchakato wa SMS za kawaida. Nikaanza kufungua mazungumzo

Mimi, Mambo poa Asha? Uko poa kipenzi?
Sasa ile namba iliyopokea ilikuwa ya jamaa mmoja, mwanaume wenzangu. Na yeye, kwa vile aliona namba ngeni imemtumia meseji ya mahaba na kutaja jina "Asha", alifikiri mimi ninayeandika ni mwanamke nimepotea namba

Jamaa naye akaona fursa ya kupata mtoto wa kike imemshukia, akajaa mzima mzima akijua anachat na demu, Akajibu haraka sana

Jamaa, Mambo poa kabisa mpenzi, uko poa?

Aisee, kupata lile jibu nikiwa na miaka 19, nikajua "Asha ameshajaa kwenye kumi na nane zangu.
Kumbe upande wa pili na yeye anajua anachat na demu, Tukawa tunatupiana SMS za mahaba mazito, mimi namtongoza nikijua ni demu, na yeye ananijibu kwa dhati kabisa akijua anamtongoza demu aliyejichanganya namba.

Mambo yakaenda kasi sana kwa SMS. Hamu ilipozidi na kwa vile sikuwa na subira ya ujana, nikamwambia,

Mimi, "Lini tuonane maana nimekumiss sana

Jamaa, "Hata sasa hivi mpenzi, uko wapi?

Moyo ulilipuka kwa furaha Nikaona hapa dili lishakaa sawa, nikaamua kumuuliza swali la kiuhuni la chumbani ili kuamsha mzuka kabisa

Mimi, "Haya, tukiwa chumbani nini unapenda nikutendee au nini unapenda tufanye?

Wakuu, jibu lilirudi likiwa la kiume na la kihuni kwelikweli (kumbuka jamaa anajua anajibu mwanamke).
Jamaa akatuma SMS kavu: "Nitakunyonya Kum na maneno mengi machafu machafu [emoji725][emoji2961].

Dah, Ile SMS ilitua kwenye screen kama radi. Hapo ndipo akili yangu iliposhtuka na kugundua mchezo mzima. Nikasema "*****! kwa sauti ya juu peke yangu chumbani. Nikajua hapa tumepigwa changa la macho wote wawili, Kumbe niko hapa nasugua vidole nikijua natongoza demu, na yeye upande wa pili kashajipanga kuja kukutana na demu wa kumfanyia hivyo vitu.

Mbaya zaidi, kipindi chote hicho cha SMS, Asumani wangu (kijana wa chini) alikuwa ameshapandisha mzuka wa hatari, yuko juu juu anasubiri Asha afie juu asumani, ile taarifa mbaya na ya kikatili ilipomfikia Asumani kwamba hakuna Asha hapa bali ni dume mwenzetu ana njaa zake, aliumia sana! Alishuka na kusinyaa kwa kasi ya ajabu, aliumia kwa mshtuko kana kwamba amemwagiwa maji ya barafu.

Alidhalilika sana kwa masikitiko baada ya doria yote ile kwenda hewani.

Hapa ndipo ninapolaani kwa nguvu zote! Mungu amlaani huyo jamaa kwa maneno yake machafu, na Mungu anilaani na mimi kwa upumbavu wa kukurupuka bila kuhakiki namba.

Yaani unaandika vitu vya kijinga na vya hovyo bila hata kujua upande wa pili kuna nani? Hizi ni laana kabisa! Aliyeturoga vijana.

Yule jamaa namlaani mpaka Leo apigwe na radi, Tangu siku hiyo, namba ngeni ikituma SMS, kwanza napiga simu nisikie sauti ya dume au jike [emoji23][emoji23].
Usilaani please
 
Kwa hiyo hapo ulishawahi pendwa na mwaname mwenzio? Hongera kwa kuwa na nyota ya Juma Lokole.
 
Back
Top Bottom