Si ulimwambia mwenyewe!!!!! Umenikumbusha kuna mshikaj wangu alikuwa shamba boy sasa baadae akaenda kijijin kwao akaoa mke akamleta pale pale alipokuwa anafanyia kazi kwa bosi wake.......Binti baadae akawa kibur kwa mumewe kila jamaa akifanya kosa binti anamsemea kwa bosi wake,jamaa akamuonya demu ila hakusikia ....Sasa kuna siku bos wake NA jamaa akampa kaz mshikaj ambazo siku zote zinafanywa NA demu ..Alipouliza kwa bos akamwambia mke wako yuko hedhi....Jamaa aliumia sana akakaa miez miwili akamrudisha demu kwao Kigoma akamwacha rasmi.....Baada kama WK moja bos akamtumia dem nauli akarud bila jamaa kufahamu .....Mpaka Leo demu ni mfanyakaz wa ndan pale NA mshikaj aliachaga kazi NA kuhama.Mimi ni secretary boss wangu ni mzee sana anajiheshimu sana sana ana miaka 55 hivi
kila nikiwa period anajua ,ananiuliza inabidi tu nikubali
naona aibu sana mwanaume anajua nipo period nifanyeje jamani ,na kwanini ananiulizaga?
Utatafunwa mda si mrefu,na usisahau kuleta mrejesho hapa.nitakula wapi?
Hapo yaani keshaingiza kichwasiwezi kummind ananisaidia mambo mengi sana huyu mzee .
Nenda tu ukabinuliweananipenda tu kama binti yake tena anataka nikaishi kwake
Ni mboga ya boss ya pembeni,side dish.Secretary ni mke wa boss.
Acha ujinga fanya Kazi, huwezi kumkataza mtu kujua siku zako za hedhi wakati zinahesabika tu kirahisi!Mimi ni secretary boss wangu ni mzee sana anajiheshimu sana sana ana miaka 55 hivi
kila nikiwa period anajua ,ananiuliza inabidi tu nikubali
naona aibu sana mwanaume anajua nipo period nifanyeje jamani ,na kwanini ananiulizaga?
K zenye ubora tunazijua sisi wagegedaji nasio wewningekuwa na harufu nisingeuliza halafu kama ushazoea kula k mbovu usidahini wote tupo hivo watu tuna k zenye ubora babu
Anayekuvunjia heshima na wewe mvunjie tu otherwise unapenda anavyokwambianitamuulizaje mzee ana heshima zake huyu ohoo
Upo karibu sana na mahali anapofanyia kazi, unapotoa ishara za piriod hua anahisi hujui hivyo anaokopa usoje siku moja ukamchafulia ofisi, pia anajaribu kukulinda ili ikitokea hata ukapatwa na yale maudhi madogomadogo ajue namna ya kuyatatuakwanini anisome?
Tatizo sio kujulikana tatizo ni pale baba mtu mzima sio mpenzi wako anakuuliza habari za MP wallah lazima ujifikirie Mara mbili mbili, kuna vitu vingine ni vya heshma japo si vya ajabuMWANAMKE YEYOTE AKIWA PERIOD ANAJULIKANA
Huenda ndoo ungemvutia zaidi[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mbona kama una mpa nafasi akuzowee? aliazaje mpaka afike huko kote? alikuonananini? unaumwa sanaaa au ?
Mie ningemkata jicho asinge rudia tena kuuliza na mijicho yangu hii mikubwa angejuta kaniulizia nini...
Hapa kuna walakini, sijui labda tumefunzwa tofauti ila mwanamke akiwa Mp ni jambo la siri na la kuhitaji kuheshimiwa, tangu nikue sijawahi ambiwa na mwanaume umri saw a na baba yangu maneno hayo ambayo wewe unasema huwez Ku mind, only my husband only himsiwezi kummind ananisaidia mambo mengi sana huyu mzee .