Boss anajua siku zangu za period

Boss anajua siku zangu za period

Katika kitu chenye harufu mbaya katika mwili wa binadamu wa jinsia ya kike ni damu ya period. Uvundo wake hauna mfano. Jichunguze usikute kweli harufu ya damu inamtesa
maisha haya sijawai kuona mtu ananuka damu ,pedi zipo maji yapo shida ni nini
 
hajawai kukuulizia ukiwa kwenye nyege ? Huwa mnachati nae ?
 
Hii Kali anaanzia wapi kukuuliza hayo au huwa anakugegeda....
 
Itakuwa unatoa harufu.....

Kuna baadhi ya wanawake wakiwa period jasho lao hubadilika hutoa kiharufu fulani

Badilisha perfume..
Badilisha pedi mara kwa mara
Kama unakuwa na vihasira jicontrol
 
Kwa hali ya kawaida ungeweza kumfungulia kesi ya sexual harassment, hayo maswali ni very personal mtu anaetakiwa kuyajua ni yule mnaeshare private parts tu.
Hakuna kitu kama hicho mbona mkiwaga kwenye maday tunawajua sana tu mara unakunja sura ghafla kama umeng'atwa na mdudu kwenye papuchi mara kutembea kwa kujisukuma sukuma mara chooni kila saa mara kusunya sunya mara kuchoka nani hawajui nyie hata mkiwa na hamu ya kugegedwa tunajua sana tu alaaaaa!!!!!!!
 
Kwa watu wanaoheshimiana sio rahisi kuuliza/kuulizwa swali kama hilo....
Mbona unaona kama kuwa kwenye siku zako n jambo la siri saaaana au n jambo kubwa saaaaana yaani mmeiweka kwamba n kitu kikubwa sana yaani, hv kuwa na mimba na kuwa kwenye siku kipi kinaleta kaaibu fulani au n kipi ambacho ukiwa nacho unaona kaaibu fulani mbele za watu
 
Mbona unaona kama kuwa kwenye siku zako n jambo la siri saaaana au n jambo kubwa saaaaana yaani mmeiweka kwamba n kitu kikubwa sana yaani, hv kuwa na mimba na kuwa kwenye siku kipi kinaleta kaaibu fulani au n kipi ambacho ukiwa nacho unaona kaaibu fulani mbele za watu
Kwa mila na desturi, mwanamke akiwa kwenye siku zake si msafi, kuna wanaume hawawezi kula chakula ulichopika akijua uko kwenye siku zako. Hizi ndiyo sababu zinatufanya tuiweke iwe siri kubwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom