Bora kuolewa na mzee aliyejipanga kimaisha kuliko kuolewa na kijana maskini mwenzio

Maisha yetu ni mafupi sana hapa duniani, hivyo tunapaswa kufurahia maisha muda wote. Hii habari ya kuoana na mtu eti mchume wote baadaye mtafurahia maisha haikubaliki. Maana hakuna aliye na mkataba na Mungu, unaweza ukafa the next morning.

Na kwa taarifa yako furaha na umaskini havikai pamoja, ni kama maji na moto. Ukiolewa na maskini maana yake ni kwamba umeipiga teke furaha ktk maisha yako. Asikwambie mtu, pesa ndiyo sabuni ya roho.

Kama huna hela utalala sehemu yenye uvundo kama banda la beberu la mbuzi. Huyo mume wako maskini anakuwa amelala huku akikoroma maana amechoka utadhani yuko ICU (ndiyo maana ya mlalahoi). Mate
yanamtoka na kulowesha godoro unaweza kudhani kakojolea.

Utajikuta tu unaamka na kuanza kulia kwa uchungu huku ukimuuliza Mungu; why me? Maisha haya mpk lini?

Na kuna ndharia mpya kuwa maskini hatauona ufalme wa Mungu. Kwasabb kila siku anatenda dhambi ya manung'uniko. Maskini hana shukurani kwa Mungu wake. Kila siku akijisogeza mbele za mola wake anaorodhesha maombi zaidi ya mahitaji yake kwa Mungu. Lkn tajiri kila siku anamtukuza na kumshukuru kwa hatua aliyopiga. Ndiyo maana hisikii tajiri akiangushwa na pepo wachafu.

Umaskini ni ugonjwa. Kwann ? Umaskini husababisha magonjwa ya kizembe na kupelekea mtu kufa kizembe.

Usikubali kuolewa na maskini.

UPDATES;
Nimesoma comments zenu zote. Lakini nasema hivi "Mm sitaki kuteseka duniani na ahela. Yaani niiishi kwa shida kisa eti nampenda kidudu-mtu asiye na hela. Naanzaje kwanza? Ujana wako wa kimaskini peleka kuchanganya zege huko!!"
Kama wewe ni chawa utatafuta mwenye nacho. Mapenzi ya kweli hayana macho. Kwa wachaga na wapare lazima mpesa hata kama mwenye nayo mbwa
 
Washauri pia kwamba hao matajiri kama hujui alipoupatia utajiri wake usithubutu kwenda. Everything has a price. Kuna watu wamepewa masharti kwamba kila mke anaeoa akimaliza mwaka atolewe kama kafara. So ana kazi ya kuoa mikoa na vijiji tofauti. Wengine wanaambiwa oeni mnavyoweza ila siku mkizaa mtoto mjue mtakufa. Matajiri wengine mali zao ni kafara ya damu mwanzo mwisho.

Na ukimkuta hana mda wa hivyo vyote vya makafara au pesa zake ni za ku hustle basi jua kwenye mapenzi hana muda. Yeye anatafuta. Anashinda angani kwenye ndege kuliko anavyoshinda na mkewe. So waambie tu wadada wakiwa wanatafuta hao wazee wenye pesa wawe wameshajua priorities zao kwamba ni shopping na sio mapenzi.

Wengine ukiwakuta jua kuna mwanamke alipambana hapo so usiwe chanzo cha kumuondoa huyo aliepambana na mumewe. Wengine mnawakuta wana watoto. Hao watoto hawato wakubali kama mama na watakutukana kwasababu watajua umefuata mali
Of which is true. Kama unapenda wazee mbona umewaacha kijijini kwenu😄

Ukipata bahati ya kupata pazuri ni 1/1000. Goodluck love hunters

NB: Dada, kama una mwanaume wako anabangaiza shikilia hapo. Upendo wa kweli haupo kwenye pesa. Siku zikiondoka sijui utakua mgeni wa nani uko na kibabu chako kinaumwa hoi na huna mapenzi nae. Wavumilieni kina jonsoni siku watainuka tu. Ila msikae hadi in your late 40’s eti unawinda mbaba mwenye hela unaweza kuzeeka na malengo hewa. Take it as it is. Goodluck once again.
Kwa haya madini uliyotoa asipokuelewa atakuwa na kichwa kigumu.
 
Kipindi unawaza hivyo, ukiacha papuchi, ni value gani unaenda kuadd kwenye hiyo ndoa/mahusiano?
Hawa ndio wale wanakomaa uko eti Wanaume wanapenda Sex. Ukifatilia utakuta ndio kitu pekee wanatoa kwa mwanaume sasa kwanini tusipende? Ubaya anataka aingie na akili hiyo hiyo kwa ndoa.

Siku mume mambo yakibadilika inakuwa tabu hana akili za kutafuta.
 
Back
Top Bottom