Kwanini wanawake hawapendi kuolewa na masingle faza?

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
25,558
45,878
Naomba nimjibu mdau kwa ufupi wanawake wengi tunavolichukulia hili swala
Wanawake wengi naturaly tumeumbwa kwa roho ya huruma na kutunza familia. Pia tunapenda familia issetle kwa upendo na umoja pia tunaoneana huruma sisi kwa sisi.

Unapokutana na mwanaume ana watoto kaachana na mababy mama wake kwanza unapata hofu na huruma.kwanini wenzangu waliachwa? Na inapotokea watoto ni zaidi ya mmoja na.kila mmoja na mama yake hapo hali inakuwa ngumu sana kumuamini huyo mtu.labda mtu awe na ukame wa ndoa saaana ndo anaweza kukubali mtu wa aina hiyo.

Ila mwanamke mwenye kujiamini na kesho yake hawezi kamwe kuwa baby mama no 5 .uzuri wanaume wengi hata awe na watoto 10 mwanzoni huwa wanajitambulisha kuwa na mtoto mmoja akiwa na utu kidogo atasema wawili na hapo atasema mama wa mmoja ni marehemu.akishakuoa sasa ndo anakuja na timu yake yote maana anajua cha kumfanya huna.

Kwanini hatupendi wanaume wenye watoto wengi?

Sio kwamba tuna roho mbaya kama nilivosema wanawake wengi tuna huruma na tunatamani kuwa na familia iloyosetle kwa upendo na amani.hata kama hamna hela.

Sasa ukiangalia maisha yalivo magumu,uwaze mume ana watoto watano plus ukaweke wako wawili my furend ukipima hivo viatu ni vigumu mnoo pia unaona kama wanao watateseka flani.

Hautakuwa na uwezo wa kuwapa furaha wanao .assume una elfu tano kwa pochi umekutana na kanguo ka zuri.nyumbani kuna watoto watano sita .unaweza kuchukua tu nguo ya mwanao? Si utaonekana shetani hata kama mambo mengine unajitahidi vipi. So kuepuka kuhukumiwa na jamii wanawake wengi kwa kweli tunaogopa ma single faza wenye watoto.

Kingine kwenye uchumi watoto wa nyumbani wote ni wa baba na mama alieko nyumbani.haya baba kafulia au ameyumba kiuchumi hao watoto utawaweza?

Tuseme mwanamke una uwezo kiasi .kulipia mwanao milioni kwa mwaka ushindwi haya mwanaume kafulia .mwanao utaacha kumpeleka shule nzuri kwa sababu ya wenzake? Ukisema umpeleke jamii itakuchukuliaje?

Kwa kifupi tunaona ni very risk kuolewa na single faza mwenye watoto labda kama ni mzee amefiwa na mkewe huko wanae wakubwa ila hawa age zetu tunaanza kujitafuta mmh bora tuanze wawili kulala chini ila mambo ya mtu una kianzio cha watoto watatu wannne ni very risk kwa kweli.wewe oa katika hao mababy mama wako.

Kama una mtoto mmoja sawa au wawili ila zaidi aisee kuweni na huruma mkalale mlikomwaga mbegu tusitafutiane dhambi za watoto jamani .watoto wanaitaji upendo mno
 
nikiwa barabarani jana, niliona Lori la mchanga imeandikwa "KWENYE NDOA ZENU KUNA WATOTO ZETU"

nimetafakari sana, nimehuzunika sana na kwakweli nimefedheshwa sana kwa single fatherz na single motherz kulaumiana au kubabaika na wanaozeekea na kuchujuka nyumbani polepole....

Hujachelewa,
Yale yote yamekushinda na usiyoyaweza Mungu Mwenyezi anaweza,

Mungu Mwenyezi amebeba aibu yako na yangu na kuchukua huzuni na mahangaiko yako na yangu.
Mungu anatuhurimia sana sote na tukimwomba kwa imani atajibu maombi na mahitaji tuombayo bila kuchelewa....

Ukipata wasaha karibu tuombe pamoja na Neema na Baraka za Mungu kwako, kwangu na kwa wengine....
 
Naomba nimjibu mdau kwa ufupi wanawake wengi tunavolichukulia hili swala
Wanawake wengi naturaly tumeumbwa kwa roho ya huruma na kutunza familia. Pia tunapenda familia issetle kwa upendo na umoja pia tunaoneana huruma sisi kwa sisi.

Unapokutana na mwanaume ana watoto kaachana na mababy mama wake kwanza unapata hofu na huruma.kwanini wenzangu waliachwa? Na inapotokea watoto ni zaidi ya mmoja na.kila mmoja na mama yake hapo hali inakuwa ngumu sana kumuamini huyo mtu.labda mtu awe na ukame wa ndoa saaana ndo anaweza kukubali mtu wa aina hiyo.

Ila mwanamke mwenye kujiamini na kesho yake hawezi kamwe kuwa baby mama no 5 .uzuri wanaume wengi hata awe na watoto 10 mwanzoni huwa wanajitambulisha kuwa na mtoto mmoja akiwa na utu kidogo atasema wawili na hapo atasema mama wa mmoja ni marehemu.akishakuoa sasa ndo anakuja na timu yake yote maana anajua cha kumfanya huna.

Kwanini hatupendi wanaume wenye watoto wengi?

Sio kwamba tuna roho mbaya kama nilivosema wanawake wengi tuna huruma na tunatamani kuwa na familia iloyosetle kwa upendo na amani.hata kama hamna hela.

Sasa ukiangalia maisha yalivo magumu,uwaze mume ana watoto watano plus ukaweke wako wawili my furend ukipima hivo viatu ni vigumu mnoo pia unaona kama wanao watateseka flani.

Hautakuwa na uwezo wa kuwapa furaha wanao .assume una elfu tano kwa pochi umekutana na kanguo ka zuri.nyumbani kuna watoto watano sita .unaweza kuchukua tu nguo ya mwanao? Si utaonekana shetani hata kama mambo mengine unajitahidi vipi. So kuepuka kuhukumiwa na jamii wanawake wengi kwa kweli tunaogopa ma single faza wenye watoto.

Kingine kwenye uchumi watoto wa nyumbani wote ni wa baba na mama alieko nyumbani.haya baba kafulia au ameyumba kiuchumi hao watoto utawaweza?

Tuseme mwanamke una uwezo kiasi .kulipia mwanao milioni kwa mwaka ushindwi haya mwanaume kafulia .mwanao utaacha kumpeleka shule nzuri kwa sababu ya wenzake? Ukisema umpeleke jamii itakuchukuliaje?

Kwa kifupi tunaona ni very risk kuolewa na single faza mwenye watoto labda kama ni mzee amefiwa na mkewe huko wanae wakubwa ila hawa age zetu tunaanza kujitafuta mmh bora tuanze wawili kulala chini ila mambo ya mtu una kianzio cha watoto watatu wannne ni very risk kwa kweli.wewe oa katika hao mababy mama wako.

Kama una mtoto mmoja sawa au wawili ila zaidi aisee kuweni na huruma mkalale mlikomwaga mbegu tusitafutiane dhambi za watoto jamani .watoto wanaitaji upendo mno
Hata kama mwanaume ana mtoto mmoja halafu. Hana pesa siwezi kuolewa nae labda niwe nimeishiwa. (Sina jambo)
 
Back
Top Bottom