Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,516
- 235,229
- Thread starter
- #361
Hii chuki tuliiona toka mwanzoš¤
H kweli wamezingua, at least bc ht wangemuweka watatu
Mimi nilijua kabisa hatapewa ushindi kwa sababu ya utaifa wake (Congo)
Kwa Sababu mwaka jana alishinda mshindi From Congo.
Ila pia leo aliongeza sababu ya kutokushinda kwa kukosea kuchagua nyimbo sahihi.
Lakini hili la kumuweka Mshindi wa 4 ni chuki za waziwazi mnoooo.