Brian Spilner
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 2,123
- 6,207
MapemaaJamaa alijipigia, kashamalizana nae
MapemaaJamaa alijipigia, kashamalizana nae
Mimi pia😂 Uganda vs Tanzania
Hii inaenda Uganda na ndio chaguo langu
Umeona hata kelele za audience yao zimepingaDaah eti fleya kawa 4 kweli duuh sio kweli
Mkeka wangu umetik 😂Top 3 yangu.
1. Yule demu wa UG
2. Yule demu wa mbeya anayechana
3. Comedian
Mshindi ni UG
Huyo Home G anayechana anaitwa nani??Mkeka wangu umetik 😂
I love you praise 🔥
Haya, kitu kimetik vile vile nilivyosema 😂🤣🤣bado kidogo relax
Ni yule niliona clip yake anachana Remember me ya Lucky dube??Mkeka wangu umetik 😂
I love you praise 🔥
Anaitwa so fireHuyo Home G anayechana anaitwa nani??
Nikamfuatilie sasa
YesNi yule niliona clip yake anachana Remember me ya Lucky dube??
WCB wataenda kumuharibu tuu, arudi zake UG kwao akafanye shughuli zake.Haka katoto kamedeserve
Diamond na WCB kipaji hicho hapo
Msikiachie
Nimesikia wana mapango wa kusign kipaji kipya kutoka east africaWCB wataenda kumuharibu tuu, arudi zake UG kwao akafanye shughuli zake.
Style anayoimba haiwafai hao wahuni
Alistahili kuwa no 2 hata sijui nini kimetokeaNakubali Praise kushinda
Ila naona chuki ya wazi Kwa Freya Bellamy
Hakustahili kuwa mshindi wa 4
WCB n wapuuzi tuuNimesikia wana mapango wa kusign kipaji kipya kutoka east africa
wamezingua yaani huyo So fire wamempa no 2 kwa sababu za kelele za audience basiUmeona hata kelele za audience yao zimepinga
🤝Ila naona chuki ya wazi Kwa Freya Bellamy
Hakustahili kuwa mshindi wa 4
So fire muda wote hip hop tu 😂wamezingua yaani huyo So fire wamempa no 2 kwa sababu za kelele za audience basi