Bongo star search 2015

Bongo star search 2015

Huu ni mwaka wangu,Yanga walichukua kombe la ligi kuu,Arsenal wakabeba makombe,Yanga ikaifunga Simba,Arsenal ikaifunga Man U...
Kayumba kashinda bado Lowassa nifunge mwaka.
Happyyyyyyyy......

Khaaa yote nimekubali ila hapo pa man u kufungwa roho imeniuma Sana umenikumbusha machungu
 
Huu ni mwaka wangu,Yanga walichukua kombe la ligi kuu,Arsenal wakabeba makombe,Yanga ikaifunga Simba,Arsenal ikaifunga Man U...
Kayumba kashinda bado Lowassa nifunge mwaka.
Happyyyyyyyy......

Hahaa..Kayumba amekosha nafsi.
 
Khaaa yote nimekubali ila hapo pa man u kufungwa roho imeniuma Sana umenikumbusha machungu

Hahahahaaaa pole sana mkuu.
Huu mwaka tokea unaanza nilinuia utakuwa wa furaha,kumbe mtu ukiomba mambo yako mwaka mpya inakuwa kweli?
 
Utabiri Wangu Umetimia Kuwa KAYUMBA JUMA a.k.a Dr. MAGUFULI Ataibuka Mshindi Rasmi Wa BSS Na Kweli Imekuwa Hivyo Baada Ya KUMGARAGAZA Vibaya Mno FONABO a.k.a LOWASSA. Sasa Hakuna Tena UBISHI Kuwa Dr. John Pombe Joseph Magufuli Ndiyo Atakuwa Mshindi Wa Urais Hapo Tarehe 25, October 2015. Sijui Ni Kwanini au Nina KARAMA Gani Mwenyezi Mungu AMENITUNUKU Kwani KILA NIKITABIRI au NIKIBASHIRI Jambo au Kitu HUTOKEA au HUWA KWELI 100%. Akhsante Mungu.
cc Gentamycin
 
Last edited by a moderator:
Wamempa dogo sijui coz kafanana na Kendrick Lamar ama nini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom