Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,375
Eeh tutakuwa hapa kuwakumbusha mbona. Afu tuassume basi hatotoboa. Hivi tusker project fame mbona ina vipaji vya kufa na washindi huwa wanastahili but ni mshindi yupi aliyetoboa kati yao kina alpha, hope, Ruth, davis etc? Kipaji tu pekee hakitoshi,... nyota, management na mengineyo mengi yanahusika pia. Kila la kheri kwa fonabo piaMi nilichofanya ni kukariri tu majina ya wanaosema kayumba hastahili,amependelewa,ohhhh sijui soon atapotea..Ntawatafuta..Muda utatwambia