Bongo star search 2015

Bongo star search 2015

Jamani eeh?Sisi wapenzi wa Kayumba tumefurahi kijana wetu kashinda,mtoto ana bidii sana yule.
Acheni basi kuishi kwa mazoea jamani?Oooh Jumanne Idd ooh,acheni hizo.
Binafsi nategemea kumuona dogo akifanya makubwa,na atafanya poa tu sababu kipaji anacho.
Kayumba ndiye mshindi and he deserve it.....
Period.
 
Kwa kweli kayumba anadeserve, ile sauti kama imechujwa. Ni kutokumtendea haki kayumba kumfananisha na jumanne idd. Wote wana nyota yes, but kwenye sauti jumanne hamfikii kayumba jamani
 
Absolutely....
Hili naona watu hawaliangalii wao wanapagawa na gitaa la Fonabo ambalo ni kitu cha kujifunza tu.
Can you imagine ile sauti ya Kayumba akipiga na gitaa itanoga vipi?
Kingine huyu mtoto ana bidii na kipaji,haonekani kama Jumanne ambaye aliridhika tu kwa ushindi.
 
Me Nakubali fonabo yupo vizuriiii sana, ni package but kayumba ana nyota zaidi. Na nyota ina umuhimu wake pia jamani ooh..kina diamond hao sio hata wakaliii but nyotaaaaa
 
Kweli mkuu Kayumba nyota yake ipo juu ila Fonabo mpango mzima.
 
Mshindi naona anaimba kama akina yamoto band na wengine wapya kwa kutoa sauti ka wao pia

Angeshinda anayetupa kitu tofauti ingekuwa poa na sauti tofauti ukiiamka toka usingizini unasema hiyu ni fulani

Ila sasa nafikiria nitamsikilizaje huyo na wengine wapo labda maneno yanifurahishe...

Ila uimbaji wa hivyo nimeuchoka

Mnishtue Fanabo akitoa mwombo nitapenda kumsikiliza zaidi

Ni mie ambae sikufatilia show hii kwa kua na majukumu mengi.
 
Hahahaaaaa! mzurimie umenichekesha ulivyomalizia hapo mwisho, ni kweli kayumba ana nyota ila haya ni mashindano ya kutafuta vipaji ndio maana kauli mbiu yao ilikuwa "kuwa original" i wonder kama walilikumbuka hilo!!!

Anyway judges wenyewe kama ndio wale hatuwezi kutegemea kitu kipya kwakweli, maana wao wenyewe walijisahau wakawa mashabiki na sio judges.
 
Last edited by a moderator:

Umenena kweli

Eeh hiyo ya ushabiki tabu kabisa
 
Last edited by a moderator:
Tatizo la BSS ni predictable tofauti na Tusker PF hata wakibaki watatu bado kichwa kinauma!nadhani mshindi anakua ameshapatikana issue ya piga kura wanazuga tu .Kuna comments za judges unajua mtu hatoshinda;kuna statement kama "ng'ombe hanenepi mnadani"au "Hata usiposhinda hapa nategemea kukuona Ukiwa star". Comment kama hizo hawakumpa Kayumba kwa mtu mwenye akili timamu unajua kwamba Judges wanamjua mshindi nani so wanawafariji washiriki wengine wanaoonekana kuwa na kipaji kuzidi mshindi wao;Kwa mjuaji wa muziki Fanabo na Mary Kato ni vifaa ila dogo ni entertainer
 
Mshindi naona anaimba kama akina yamoto band na wengine wapya kwa kutoa sauti ka wao pia

Angeshinda anayetupa kitu tofauti ingekuwa poa na sauti tofauti ukiiamka toka usingizini unasema hiyu ni fulani

Ila sasa nafikiria nitamsikilizaje huyo na wengine wapo labda maneno yanifurahishe...

Ila uimbaji wa hivyo nimeuchoka

Mnishtue Fanabo akitoa mwombo nitapenda kumsikiliza zaidi

Ni mie ambae sikufatilia show hii kwa kua na majukumu mengi.
Wametuchezea akili tu hawa maboya,mshind alishapangwa
 
Attachments

  • 1444407885730.jpg
    1444407885730.jpg
    46.5 KB · Views: 372
Jamani eeh?Sisi wapenzi wa Kayumba tumefurahi kijana wetu kashinda,mtoto ana bidii sana yule.
Acheni basi kuishi kwa mazoea jamani?Oooh Jumanne Idd ooh,acheni hizo.
Binafsi nategemea kumuona dogo akifanya makubwa,na atafanya poa tu sababu kipaji anacho.
Kayumba ndiye mshindi and he deserve it.....
Period.

Fonabo Ni mwanamuziki atayekuwepo siku zote mpaka siku mwenyewe aseme sitaki Muziki, Kayumba atatoa nyimbo mbili tatu Na atapotea mazima!
 
Tatizo la BSS ni predictable tofauti na Tusker PF hata wakibaki watatu bado kichwa kinauma!nadhani mshindi anakua ameshapatikana issue ya piga kura wanazuga tu .Kuna comments za judges unajua mtu hatoshinda;kuna statement kama "ng'ombe hanenepi mnadani"au "Hata usiposhinda hapa nategemea kukuona Ukiwa star". Comment kama hizo hawakumpa Kayumba kwa mtu mwenye akili timamu unajua kwamba Judges wanamjua mshindi nani so wanawafariji washiriki wengine wanaoonekana kuwa na kipaji kuzidi mshindi wao;Kwa mjuaji wa muziki Fanabo na Mary Kato ni vifaa ila dogo ni entertainer

Kwa kweli Fanabo ni Mwanamuziki na si Msanii.Natamani niwe namskia kila siku na sitachoka kumsikiliza na nitaendelea kuwa shabiki wake huyu raising star of my soul.
 
Jamani eeh?Sisi wapenzi wa Kayumba tumefurahi kijana wetu kashinda,mtoto ana bidii sana yule.
Acheni basi kuishi kwa mazoea jamani?Oooh Jumanne Idd ooh,acheni hizo.
Binafsi nategemea kumuona dogo akifanya makubwa,na atafanya poa tu sababu kipaji anacho.
Kayumba ndiye mshindi and he deserve it.....
Period.

Atafanya vizuri kwa sababu mabosi zake ni mabosi Wa yamoto na hao ndio miongoni mwa wadhamini Wa hiyo BSS.Kwa hiyo ataendelea kubebwabwa na kubebeka lakini hatokuwa na uwezo kama Wa Fonabo Wa kutoka kwa mama.
 
Tatizo la bss na hata vtu vingi nchi huwa ni upepo watu hawa reason kabisa mtu kuimba heat song basi ndo mshindi. Wanahitajika ma judge professional aisee watofautishe to me fonabo aendeleze talent yake ikiwezekana aende mashindano makubwa ka Tusker hata akiimba live band anaweza sana tuu. Ma judge wenyewe ni vibendera

Mtoto katoka kwa wakubwa na yeye mwenyewe,na hao wakubwa na yeye mwenyewe ndio miongoni mwa wadhamini Wa Bee esiesi.Ndio maana jana wale YA UVUGUVUGU BENDI WALIRUDIA SHOW.Utumbo star search ever...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom