Hahha nashukuru, maana kwa u - team wa kipindi kile ningevunjiwa screen ya simu kwa vichambo tuUnadhani hata kuna wa kukuchinja mama? Hilo lipo wazi kabisaaa, na wote tunajua.
Jamani vile ni viuno ni nini?
hivi we Nifa unamuona lakin dada wa kinaija mwenye skirt Nyekundu sijui
Ntakuforwadia kesho..Najua kayumba kakulewesha.huwezi kusoma
Hahahhaa mapedeshee wamekuwa wazalendo. Wanatunza wa kwao tuCjui wanawaza pesa walizomwaga pale kwa sifa. Bongo wanatia aibu
Hahahha anaitwa runtown sijui. Bora hata wasingemleta coz Christian bella ameshafanya matusi
Umeona eeh?Mimi niliweka simu pembeni nikaserebuka kwakweli,watz viazi sana.
HahhahahahKhaaaah! Wana hela za mchezo kweli, huyu hata show yake ya bure siendi
usinywe nyingi tu.....kesho maisha yaendelee
Naona Fonabo wetu ameshindwa na huyu mjanja wa uswahilini..ngoja nikalale zangu..vipaji havitendewi haki
We unaumwaje mi sijui??