Hongera Azam TV

Hongera Azam TV

fimboyaukwaju

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2020
Posts
6,539
Reaction score
8,991
Azam TV mnastahili hongera kwa matangazo yenu,mmemaliza kutangaza kombe la dunia,wakati mkionesha ligi ya basketball,mmeonesha ngumi jiwe,mmeonesha bongo star search,hivi sasa mnaonesha cecafa,ambapo charles onyango,romario abdul jabar na msururu wa ma kamera man na makamera woman from kenya,rwanda wakifanya kazi huko.Hawana mpinzani afrika mashariki na kati kwenye sekta ya tv broadcasting
 
Ilikua kazi ya ITV miaka ile
 
Mitano tena kwa SSB.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom