Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,363
- 176,186
Hahahahaaaa pole sana mkuu.
Huu mwaka tokea unaanza nilinuia utakuwa wa furaha,kumbe mtu ukiomba mambo yako mwaka mpya inakuwa kweli?
Jiandae kwa dissapointment kwahiyo moja iliyobaki.
Hahahahaaaa pole sana mkuu.
Huu mwaka tokea unaanza nilinuia utakuwa wa furaha,kumbe mtu ukiomba mambo yako mwaka mpya inakuwa kweli?
Pacha tusiongeleshane wiki hii yote na machozi yenu.
Aah Pacha,we ni team Fonabo?
:busu:smile-big:
Ukweli mchungu wabongo hawaangalii vipaji upepo unavoenda tu basi
Nimejikuta tu leo nimempenda hatari, dogo anaweza haswaaaa na leo ndio nimenote, sikuwa serious na bss this year kihiivyo, hapa hali yangu ni tete mwenzio
Mkuu una akili sana...Afu namshangaa sana mtu kama master J anashindwa kutoa hata ushauri wa kitaalam jins ya kutofautisha kat ya kipaji cha muziki na kuweza kuimba/kuwa na sauti ya mziki....Nauhakika hata ukimwita master J pemben saiv ukamuuliza ni nani aliyestahili nauhakika hawez kumpa Cjui Kayumba uyo....Atakwambia tunatafta ulaji tuu...ila kiukweli yule jamaa wa gitaa ana kipaji cha mziki na nauhakika hawez kifa njaaa mjin kwa kipaji alichonacho,atakuwa very outstanding musician kama akiamua kufany mziki ajira yake...but sio yule dgo muimba taarabu,...Mung kamjalia sauti tu na uwezo wa kukariri mashair ya watu bas,Nothin else.....Wabongo wengi wako kaa bendera tuu....wanakipend kitu hata kama ni kibovu na bila sabab yyte....
BSS na team yake hovyo kabisa...
Good night wakuu
uyo kanumba ndo aina ileile ya jumanne iddy mtupu hamna kitu apo bss uswahili mwingi
Khaaaa yani bado kapresha kangu kapo juu since kayumba alivyotangazwa anaimba taarabu. Mtoto kajua kinisurprise na almanusura nizimie maana nilijua kashapoteza. Kumbe woyooooooo
Yani nina kimuhemuhe as if kayumba kanambia atanigawia fungu tehOyoooooooo!Nilipanga nilale hadi saa 3 lakini nikiwaza jana usiku usingizi unakata.