Kanyweni chai na huyo Fenabo...
Kayumba oyeeeee,ndio keshashinda,hamtaki andamaneni.
Kila shindano halikosi manung'uniko,hata season ya Walter kulikuwa na manung'uniko wengine walitaka Salma ashinde.
Hata hivyo kutokushinda sio kwamba hajui muziki,afanye yake Watanzania watamsikia.
Kwani Ali Kiba,Diamond,Belle 9 n.k walipitia shindano gani?
Lakini unaonaje mdhamini kuweka mtu wake kwenye shindano.....?
Atafanya vizuri kwa sababu mabosi zake ni mabosi Wa yamoto na hao ndio miongoni mwa wadhamini Wa hiyo BSS.Kwa hiyo ataendelea kubebwabwa na kubebeka lakini hatokuwa na uwezo kama Wa Fonabo Wa kutoka kwa mama.
Wasanii wenye uwezo tz wako kibao sana..Wengine hata hawajulikani..Na wengine wenye blah blah hizo unazozisema wanatoboa hadi kesho..Mziki sio kuwa na uwezo tu mkuu..
Teh jamani nifah na daddy Kaboom mnanipa raha mjue. Ukweli utabaki tu kuwa ukweli, kayumba Mungu amempa kibali mbele za watu wengi. Sisi home tangu day one kayumba ameimba msaliti ya king bella tulianza kuwa fans wake na Kayumba ana fans wengi mnoooo. Whether anafahamiana na kina fella or not, mwaka huu ulikuwa wake. Afu kayumba ni alikuwepo, yupo na ataendelea kuwepo. Kwa hiyo watu wajiandae tu kisaikolojia kwamba the lil man is here to stay. Ok Byeeee