Bongo star search 2015

Bongo star search 2015

Nalala zangu! Fonabo atafika mbali hata chujaa si hawa wa sauti ya puani.
 
My Kayumbaaaaaaaaaaa!Love you mdogo wangu!
Lots of kisses!
 
Wahuni hawa BSS....

No wonder washindi wao hawaendi mbali kimuziki....

Fonabo ataenda mbali sana kimuziki...Asikate tamaa
 
mtoto wa uswazini kwetu kabeba mpunga huoo,,cema kwa ding wako 10 cjui itakuaje,,haha
 
Ahsante Mungu umejibu maombi yangu. Khaaaa sijui kama ningelala leo. Nawapenda wote humu, ila kwa leo nampenda zaidi kayumba. Byeeeeeeee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom