SaaMbovu
JF-Expert Member
- Oct 8, 2013
- 6,028
- 5,355
My Kayumbaaaaaaaaaaa!Love you mdogo wangu!
Lots of kisses!
Wifi yako leo ndo kanikumbusha kuwa kuna bss. Basi alivyosema tu vile nikwamwambia namuombea Kayumba ashinde... na imekuwa
My Kayumbaaaaaaaaaaa!Love you mdogo wangu!
Lots of kisses!
Ntakuforwadia kesho..Najua kayumba kakulewesha.huwezi kusoma
My Kayumbaaaaaaaaaaa!Love you mdogo wangu!
Lots of kisses!
Hahha nashukuru, maana kwa u - team wa kipindi kile ningevunjiwa screen ya simu kwa vichambo tu
Sijaipenda it was for Fonabo. BUT majudge wanapiga Kiki mpaka ushawishi unaonekana wazi. Fenabooo anajua mziki bhana acheni masikharaaaa
Ahsante Mungu umejibu maombi yangu. Khaaaa sijui kama ningelala leo. Nawapenda wote humu, ila kwa leo nampenda zaidi kayumba. Byeeeeeeee
Utabiri Wangu Umetimia Kuwa KAYUMBA JUMA a.k.a Dr. MAGUFULI Ataibuka Mshindi Rasmi Wa BSS Na Kweli Imekuwa Hivyo Baada Ya KUMGARAGAZA Vibaya Mno FONABO a.k.a LOWASSA. Sasa Hakuna Tena UBISHI Kuwa Dr. John Pombe Joseph Magufuli Ndiyo Atakuwa Mshindi Wa Urais Hapo Tarehe 25, October 2015. Sijui Ni Kwanini au Nina KARAMA Gani Mwenyezi Mungu AMENITUNUKU Kwani KILA NIKITABIRI au NIKIBASHIRI Jambo au Kitu HUTOKEA au HUWA KWELI 100%. Akhsante Mungu.
Kanishinda tabiaaaKayumba hoyeee..katoto kameshinda.
Afadhali, alafu kameniumiza sidhani kama nitakuwa shabiki wake, hawezi kunifanyia sifa hadharani hivihivi alafu nimumshabikie.
Fonabo unajua bro nakutakia mafanikio mema ya kimziki ,ulivyoingia bss na sasa ulivyotoka ni watu wawili tofauti tumia nafasi uliyonayo utatoka tu .
Akamuimbie Shangazi Yake Huko.
Utabiri Wangu Umetimia Kuwa KAYUMBA JUMA a.k.a Dr. MAGUFULI Ataibuka Mshindi Rasmi Wa BSS Na Kweli Imekuwa Hivyo Baada Ya KUMGARAGAZA Vibaya Mno FONABO a.k.a LOWASSA. Sasa Hakuna Tena UBISHI Kuwa Dr. John Pombe Joseph Magufuli Ndiyo Atakuwa Mshindi Wa Urais Hapo Tarehe 25, October 2015. Sijui Ni Kwanini au Nina KARAMA Gani Mwenyezi Mungu AMENITUNUKU Kwani KILA NIKITABIRI au NIKIBASHIRI Jambo au Kitu HUTOKEA au HUWA KWELI 100%. Akhsante Mungu.
Utabiri Wangu Umetimia Kuwa KAYUMBA JUMA a.k.a Dr. MAGUFULI Ataibuka Mshindi Rasmi Wa BSS Na Kweli Imekuwa Hivyo Baada Ya KUMGARAGAZA Vibaya Mno FONABO a.k.a LOWASSA. Sasa Hakuna Tena UBISHI Kuwa Dr. John Pombe Joseph Magufuli Ndiyo Atakuwa Mshindi Wa Urais Hapo Tarehe 25, October 2015. Sijui Ni Kwanini au Nina KARAMA Gani Mwenyezi Mungu AMENITUNUKU Kwani KILA NIKITABIRI au NIKIBASHIRI Jambo au Kitu HUTOKEA au HUWA KWELI 100%. Akhsante Mungu.
Aimeeeen, na Mungu amtangulie.